Author: noteswpadmin

Je, unataka kusomea afya katika vyuo vya serikali au private? Kozi za afya kama Medicine and surgery, Nursing, Clinical Medicine, Pharmacy, na nyinginezo ni maarufu na muhimu sana nchini Tanzania. Hata hivyo, kila ngazi ya masomo ina vigezo maalum vya kujiunga. Katika makala hii, tutaangazia sifa zinazohitajika kwa ngazi ya Cheti (Certificate), Diploma, na Degree katika vyuo vya afya – iwe ni vya serikali au binafsi (private). 1. Ngazi ya Cheti (Certificate) Hii ndiyo ngazi ya awali kwa wanafunzi wengi wanaotaka kuingia katika sekta ya afya. Kozi zinazotolewa kwa ngazi hii ni kama: Sifa za Kujiunga: 2. Ngazi ya Diploma…

Read More

Orodha ya Majina walioitwa kwenye usaili ATCL. Air Tanzania Company Limited (ATCL) imeendelea kuwajulisha waombaji kazi mbalimbali kuwa majina ya waliochaguliwa kuitwa kwenye usaili yametangazwa rasmi, ambapo waombaji hao wanatakiwa kujiandaa kikamilifu kwa kufuata maelekezo yote yaliyotolewa katika tangazo husika. Usaili huo unalenga kupata wataalamu wenye sifa, ujuzi na nidhamu ya hali ya juu ili kujiunga na shirika hilo la ndege la taifa, hivyo waombaji wanashauriwa kufuatilia kwa makini tarehe, muda na mahali pa usaili pamoja na nyaraka muhimu zinazohitajika ili kuhakikisha wanashiriki bila changamoto. KILA ALIYECHAGULIWA AMETUMIWA MAJIBU YA USAILI KWENYE EMAIL YAKE soma pia: Majina ya kuitwa Kazini…

Read More

Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCU – Ruaha Catholic University) ni taasisi binafsi ya elimu ya juu inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania, kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). Kipo mjini Iringa na kimesajiliwa rasmi na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). RUCU ni maarufu kwa utoaji wa elimu bora katika nyanja za sheria, biashara, teknolojia ya habari, elimu na sayansi ya jamii, ikiwa na misingi ya maadili ya Kikristo na taaluma ya juu. Kozi Zinazotolewa RUCU Certificates Awards Diploma Awards Degree Awards Postgraduate Diploma Awards Masters Awards Ph.D Degree Awards Sifa za Kujiunga RUCU Shahada (Bachelor’s Degree): Diploma: Masters (Uzamili): Ada…

Read More

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 Singida yametangazwa rasmi na Baraza la Mitihani Tanzania, na sasa wanafunzi, wazazi na wadau wa elimu wameanza kuyapitia kupitia njia mbalimbali za NECTA. NECTA Form Four Results ya mwaka huu yamepokelewa kwa hamasa kubwa katika Mkoa wa Singida, kutokana na ongezeko la watahiniwa na juhudi za shule kuboresha viwango vya ufaulu. Kutangazwa kwa matokeo haya kumewawezesha wanafunzi wengi mkoani Singida kupata mwanga kuhusu hatua inayofuata katika elimu yao, ikiwemo kuendelea na kidato cha tano, kujiunga na vyuo vya kati au kuchagua kozi mbalimbali za ufundi stadi. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne…

Read More

Majina ya walioitwa kwenye mafunzo ya Jeshi la Uhamiaji Tanzania kwa mwaka 2026 tayari yametangazwa rasmi kupitia tovuti na vyombo vya habari vya serikali, yakihusisha waombaji wote waliokidhi vigezo vilivyowekwa wakati wa mchakato wa ajira. Aidha, waliofaulu wamepokea taarifa rasmi kupitia barua pepe (Email) zenye maelekezo muhimu kuhusu hatua inayofuata ya mafunzo, ikiwemo tarehe ya kuripoti, mahitaji ya lazima, na taratibu za kujiandaa. Waombaji wanashauriwa kuangalia barua pepe zao mara kwa mara pamoja na kufuatilia matangazo rasmi ili kuhakikisha hawakosi taarifa yoyote muhimu. DOWNLOAD HAPA PDF FILE KUPATA MAJINA

Read More

Simu yako imejifunga ghafla au laini imefungwa na hujui la kufanya? Usihofu! Katika makala hii, tutakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufungua laini iliyofungwa kwa Vodacom, Tigo (YAS), Airtel na Halotel – iwe ni kwa sababu ya PUK code, Call Barring, au unahitaji kufanya SIM Swap. Sababu Zinazosababisha Laini Kufungwa Jinsi ya Kufungua Laini ya Vodacom Kupata PUK Code kwa Vodacom Kufanya SIM Swap (kubadilisha laini iliyoharibika/potea) 📵 Kufungua Call Barring (Ikiwa ulifungua kwa bahati mbaya) Jinsi ya Kufungua Laini ya Tigo (YAS) 🔐 Kupata PUK Code kwa Tigo Kufanya SIM Swap kwa Tigo Jinsi ya Kufungua Laini ya Halotel…

Read More

Leseni ya biashara ni nyaraka muhimu kwa kila mfanyabiashara anayejihusisha na shughuli za kibiashara nchini Tanzania. Kupata leseni hii ni sharti la kisheria kabla ya kuanzisha au kuendesha biashara yoyote. Katika makala hii, tutazungumzia bei ya leseni ya biashara, aina za leseni, na taratibu za kupata leseni katika mikoa tofauti ya Tanzania. Je, Leseni ya Biashara ni Nini? Leseni ya biashara ni ruhusa rasmi inayotolewa na serikali au mamlaka husika kwa mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisheria. Leseni hii inahakikisha biashara inafuata sheria, kanuni na miongozo ya biashara nchini. Aina za Leseni za Biashara Kuna aina mbalimbali za leseni zinazotolewa kulingana…

Read More

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 Morogoro yametoka huku wanafunzi pamoja na wazaziwa kifurahia kutokana na idadi kubwa ya watahiniwa kutoka Mkoa wa Morogoro. Kila mwaka, Baraza la Mitihani Tanzania hutangaza NECTA Form Four Results kupitia mfumo rasmi wa mtandaoni na huduma nyingine za kupata matokeo. Mkoa wa Morogoro, ukiwa na mchanganyiko wa shule za mijini na vijijini, mara nyingi huonyesha matokeo yenye ushindani na viwango tofauti vya ufaulu. Kutokana na umuhimu wa matokeo haya, wanafunzi hutumia taarifa hizi kupanga hatua zinazofuata kama vile kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi, kozi za ufundi stadi, au masomo ya muda…

Read More

Jeshi la Magereza leo limetangaza tarehe na vituo vya kufanyia usaili kwa vijana waliochaguliwa kwa mwaka huu 2025. Aidha mkuu wa jeshi la magereza CGP. Jeremia Katungu amesisitiza usaili huo utafanyika kwa vijana waliokidhi vigezo vya Awali tu. Sambamba na hilo usaili huo utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza kuanzia tarehe 17 November 2025 hadi tarehe 23 november 2025 na Kwenye ofisi za Magereza za mikoa utafanyika tarehe 17 November 2025. Muda wa usaili huo utaanza saa 2:00 Asubuhi huu wasailiwa wote wanatakiwa kugharamikia gharama za usafiri, chakula na Malazi wao wenyewe. Kupata orodha ya Majina Bonyeza hapa

Read More