Author: noteswpadmin

Kujikuta kwenye kesi mahakamani kunaweza kuwa hali ya kuogofya, hasa kama huna wakili wa kukuwakilisha. Hata hivyo, ukiwa na maarifa sahihi kuhusu jinsi ya kujitetea mahakamani, unaweza kuongeza nafasi yako ya kupata haki. Katika makala hii, tunakupa mwongozo wa kitaalamu wa hatua kwa hatua utakayoweza kutumia kujitetea mahakamani kwa ufanisi. Hatua Muhimu za Kujitetea Mahakamani Bila Wakili 1. Fahamu Aina ya Kesi Unayokabiliana Nayo Kabla hujaingia mahakamani, elewa kama kesi yako ni ya jinai, madai, au ya familia. Kila aina ya kesi ina taratibu zake maalum. 2. Kusoma Mashtaka au Malalamiko Chukua muda kuelewa mashtaka au madai dhidi yako. Soma…

Read More

Aina za Rasta na Bei Zake. Rasta si tu mtindo wa nywele bali ni namna ya kuonyesha utu, ujasiri, na ubunifu. Mitindo ya rasta inaenda sambamba na fashion za kisasa, huku kila aina ikiwa na upekee wake katika muonekano, muda wa kutengenezwa, na gharama yake. Katika makala hii, tutakutambulisha kwenye aina maarufu za rasta na bei zake za wastani kwa mwaka 2025, kwa viwango vya saluni nyingi Afrika Mashariki. Hizi hapa Aina za Rasta na Bei Zake Mambo ya Kuzingatia kwenye Bei za Rasta

Read More

NECTA Darasa la saba matoke 2025 yametoka rasmi leo hii, Matokeo haya unaweza kuyatazama online kwa simu yakoya mkononi. Bonyeza hapa kuangalia matokeo ya darasa la saba 2025 NECTA Standard seven results Soma pia: Matokeo ya Darasa la Saba na Shule walizopangiwa 2025

Read More

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025–2026 imeanza rasmi tarehe 17 Septemba 2025, ikihusisha timu 16 kushindana kwa mfumo wa mikwaju ya nyumbani na ugenini (home and away) Mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya KMC FC na Dodoma Jiji, itakayopigwa katika Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Msimu huu unatarajiwa kuwa wa kusisimua, huku timu zote 16 zikipambana kwa mfumo wa ligi ya nyumbani na ugenini. Moja ya mechi zinazovutia zaidi katika ratiba hiyo ni Kariakoo Derby, inayozikutanisha mahasimu wa jadi, Simba SC na Yanga SC. Mechi ya kwanza ya watani hao wa jadi…

Read More