Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco Ijumaa hii Muda 08:00 pm pale Benjamin Mkapa, historia inakaribia kuandikwa. Taifa Stars ya Tanzania inakutana uso kwa uso na Morocco katika robo fainali ya CHAN 2025. Ni mechi ya maisha au kifo – na mashabiki wameshaanza kuhesabu saa. Wapenzi wa kandanda nchini wamejawa na matumaini, wengi wakitoka kazini mapema Ijumaa, wengine wakipanga safari kutoka mikoani – yote kwa ajili ya kushuhudia mechi hii kubwa kuliko zote kwa Stars kwenye mashindano haya. Tanzania (Taifa Stars) vs Morocco: Vita ya Ujasiri na Moyo wa Nyumbani Kocha Hemed Morocco ameipa sura mpya Stars. Mchanganyiko wa wachezaji wa…
Timu zilizofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025/2026 zimejumuisha klabu bora kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika baada ya kupambana vikali katika hatua za awali za mchujo. Mechi za awalimu zimekuwa nzuri na za kuvutia timu ndogo ambazo wengi hawakuzipenda ndizo ambazo zimeonyesha kiwango kikubwa na kuwa upinzani mkubwa. Orodha ya Timu Zilizofuzu Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 – CAF Champions League Soma pia:
PDF majina ya walioitwa mafunzoni jeshi la zimamoto na uokoaji. eshi la Zimamoto na Uokoaji ni taasisi ya serikali inayohusika na kukabiliana na majanga ya moto pamoja na kuokoa maisha na mali ya wananchi katika hali mbalimbali za dharura. Likiwa na mafunzo maalum na vifaa vya kisasa, jeshi hili hutoa huduma za haraka katika kuzima moto, kuokoa watu waliokwama majumbani, majengo marefu au kwenye ajali mbalimbali kama ajali za barabarani na mafuriko. Aidha, hutoa elimu ya kinga dhidi ya moto kwa umma ili kuzuia majanga kabla hayajatokea. Jeshi hili lina mchango mkubwa katika kuhakikisha usalama wa jamii na mali nchini.…
Majina ya walioitwa kwenye usaili (Interview) wa UTUMISHI hutolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma baada ya mchakato wa awali wa uchambuzi wa maombi kukamilika. Orodha hii hujumuisha waombaji waliokidhi vigezo vilivyotajwa kwenye tangazo la nafasi za kazi husika. Kuitwa kwenye usaili ni hatua muhimu inayowapa nafasi waombaji waliochaguliwa kuonyesha uwezo wao mbele ya wajumbe wa usaili kwa ajili ya kuajiriwa katika nafasi za utumishi wa umma. Waombaji wanashauriwa kufuatilia matangazo rasmi kupitia tovuti ya Sekretarieti au vyombo vingine vya habari vilivyoidhinishwa. Bonyeza hapo chini kupakua pdf majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi wa Umma: TANGAZO LA KUITWA…
Ofisi ya Usalama wa Taifa (OST) ni moja ya taasisi muhimu katika kulinda usalama wa taifa la Tanzania. Ili kufanikisha majukumu yake ya kiintelijensia na usalama wa ndani, OST inahitaji watu waaminifu, wenye weledi, na waliobobea katika nyanja mbalimbali. Kwa hiyo, fomu ya kujiunga na Usalama wa Taifa ni hatua ya kwanza kwa wale wanaotaka kuwa sehemu ya familia hii ya kipekee. Katika makala hii, tutachunguza jinsi ya kupata na kujaza fomu ya kujiunga na Usalama wa Taifa, vigezo vinavyotumika, na umuhimu wa mchakato huu katika uteuzi wa maafisa wa usalama. Nini Kifanyike Kabla ya Kujaza Fomu ya Kujiunga na…
Katika dunia ya kisasa ambapo teknolojia imechukua nafasi kubwa, mambo mengi yanaweza kufanyika kwa urahisi kupitia simu janja. Ikiwa wewe ni mmiliki wa pikipiki, ni muhimu kuhakikisha kuwa bima yako ipo hai (halali) na haijaisha muda wake. Habari njema ni kwamba unaweza kuangalia hali ya bima ya pikipiki yako moja kwa moja kupitia simu bila kwenda ofisini au kwa wakala wa bima. Hapa chini tutaangazia hatua rahisi za kufuata: Kwanza: Jua namba ya usajili ya pikipiki yako Hii ndiyo namba kama vile “MC 123 ABC” inayoonekana kwenye namba za usajili. Hii ndiyo utaitumia kuangalia taarifa zako za bima. Njia za…
Sifa za Kujiunga na Vyuo vya Ualimu Tanzania 2025. Ualimu ni moja ya taaluma muhimu zaidi katika maendeleo ya taifa. Kwa mwaka 2025, serikali ya Tanzania pamoja na vyuo binafsi vya ualimu vinaendelea kutoa nafasi kwa wanafunzi wenye sifa stahiki kujiunga na kozi mbalimbali za ualimu, hasa kwa shule za msingi. Kama ndoto yako ni kuwa mwalimu, ni muhimu kujua sifa zinazohitajika kabla ya kuomba nafasi chuoni. 1. Sifa za Kujiunga na Cheti cha Ualimu (Grade IIIA Certificate) Hii ni ngazi ya msingi kwa mtu anayetaka kuwa mwalimu wa shule ya msingi. Kozi hii huchukua miaka 2 hadi 3. Sifa…
YAS (Tigo) ni huduma ya mtandao wa simu inayolenga vijana, inayotolewa na Tigo Tanzania. Huduma hii inatoa vifurushi vya mawasiliano, data, na huduma za kipekee zinazolenga mahitaji ya vijana katika kipindi cha mabadiliko ya kiteknolojia. YAS inajumuisha huduma za intaneti za haraka, matangazo ya kijamii, na fursa za kushiriki katika mashindano ya michezo na burudani kwa njia ya mtandao. YAS inawapa vijana fursa ya kuungana, kujifunza, na kujieleza kupitia platform za kidigitali, huku ikiwasaidia kuwa na mawasiliano bora na ya gharama nafuu. BOFYA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA YAS
Katika ulimwengu wa mawasiliano nchini Tanzania, kujua code za mitandao ya simu ni jambo la msingi sana. Iwapo unajiuliza, “Namba hii ni ya mtandao gani?”, basi makala hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakufahamisha kwa undani kuhusu namba za utambulisho wa mitandao kama Vodacom, Tigo (YAS), Airtel, na Halotel. Namba hizi ni mifumo ya awali ya namba za simu inayotambulisha mtandao unaotumika. Kwa mfano, ukiona mtu anakupigia kutoka namba inayoanza na 0754, unaweza kutambua moja kwa moja kuwa hiyo ni Vodacom. Hii ni muhimu kwa ajili ya: Orodha ya Code za Mitandao ya Simu Tanzania Vodacom Tanzania Vodacom ni mojawapo…
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha la maombi ya udahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026 limefunguliwa kuanzia leo tarehe 15/7/2025. Dirisha hili litakuwa wazi hadi tarehe 10/8/2025. UTARATIBU WA MAOMBI YA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 Makundi ya Waombaji wa Udahili Maombi ya udahili wa kujiunga na Shahada ya Kwanza yanahusu makundi matatu ya waombaji: a) Wenye sifa stahiki za Kidato cha Sita;b) Wenye sifa stahilki za Stashahada (Diploma), au sifa…