Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Tazama Matokeo ya Mechi ya Simba sc vs Stellenbosch FC, 20 April 2025. Simba SC ina uwezo mkubwa wa kushinda dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup). Timu ya Tanzania imetoka kwenye kundi lenye ushindani mkubwa, ikiwa na rekodi ya kushinda mechi tano na kupoteza moja pekee, na kumaliza kileleni mwa Kundi A. Katika hatua ya robo fainali, Simba iliifunga CS Constantine kwa mabao 2-0, ikionyesha kiwango cha juu cha uchezaji na kujituma. Kwa upande mwingine, Stellenbosch FC, ingawa walifanya vizuri katika hatua ya makundi, walikumbana na changamoto kubwa…
Makundi ya Kombe la Dunia 2026 yamepangwa rasmi, na mashabiki wa soka duniani wanaingia kwenye hekaheka mpya kuelekea mashindano makubwa zaidi katika historia ya FIFA World Cup. Michuano ya mwaka 2026 itahusisha idadi kubwa zaidi ya timu, mazingira mapya ya ushindani, na mfumo ulioboreshwa ambao unaipa kila timu nafasi ya kuonyesha ubora na ubunifu wa kiufundi. Kupangwa kwa makundi haya kunatoa taswira mpya ya ushindani kutoka mabara yote, huku mataifa kongwe na mapya yakijipanga kutafuta nafasi katika hatua za juu. Hapa chini tumekuwekea orodha ya makundi yatakayocheza kombe la dunia 2026. Orodha ya Makundi ya Kombe la Dunia 2026 -…
Ulishawahi kujiuliza je, Mkuu wako wa mkoa anapokea mshahara wa kiasi gani? katikata makala hii tumeandaa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vinavyoelezea mada hiyo. Mshahara wa Mkuu wa Mkoa ni miongoni mwa masuala yanayozua mjadala mkubwa nchini Tanzania. Ingawa nafasi hii ni ya heshima na inahusisha majukumu makubwa ya kiutawala na kisiasa, kiwango cha mshahara na marupurupu ya viongozi hawa hakijatangazwa rasmi na serikali. Hii imekuwa chanzo cha uvumi na mjadala miongoni mwa wananchi na wadau wa utawala bora. Majukumu ya Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Mkoa anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ana jukumu la kuratibu…
Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, kupata mkopo si jambo la kuchosha tena. Kupitia App za Mikopo Tanzania, sasa unaweza kupata fedha kwa haraka na kwa urahisi kwa kutumia simu yako ya mkononi. App hizi zimeboresha upatikanaji wa huduma za kifedha hasa kwa Watanzania wasiokuwa na akaunti za benki au dhamana ya mkopo. App Maarufu za Mikopo Tanzania (2025) Hapa ni baadhi ya App za Mikopo Tanzania zinazotegemewa na kutumika sana: Faida za Kutumia App za Mikopo Tanzania Jinsi ya Kupata Mikopo Kupitia App Hatua kwa Hatua: App za Mikopo Tanzania zimeleta mapinduzi katika sekta ya kifedha. Zimewapa Watanzania wengi…
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imetoa Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi na kuitwa kuanza Semina. Link hapo chini inakuletea Orodha ya Majina waliofaulu usaili: PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI WASIMAMIZI WA VITUO PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI MAKARANI WAONGOZAJI KUPATA MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI WILAYA NYINGINE BOFYA HAPA
Form Five Selection hutolewa na TAMISEMI kwa wanafunzi wote wa Tanzania Bara waliofaulu mtihani wa kidato cha nne. Orodha ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano au vyuo vya ufundi hutangazwa kwa kufuatia mikoa yote ya Tanzania, ikiwemo mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Geita, Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Njombe, Pwani, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, Tabora na Tanga. Kutazama majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mikoa yote bofya hapa Soma pia:
Maafisa wa Usalama wa Taifa wanajukumu kubwa la kuhakikisha usalama wa taifa na kulinda raia dhidi ya vitisho vya ndani na nje. Kwa kazi hii yenye changamoto kubwa na majukumu ya kipekee, mshahara wa maafisa wa Usalama wa Taifa ni moja ya masuala yanayozungumziwa mara kwa mara, na watu wengi wanataka kujua ni kiasi gani wanapata kwa kutekeleza majukumu haya ya kitaifa. Mshahara wa Maafisa wa Usalama wa Taifa Mshahara wa maafisa wa Usalama wa Taifa hutofautiana kulingana na cheo cha afisa, uzoefu, na kiwango cha elimu. Kama ilivyo katika vyombo vingine vya serikali, maafisa wa Usalama wa Taifa wanapokea…
Orodha ya Majina walioitwa Kusimamia uchaguzi mkuu Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kata zake zote. Bonyeza hapa kupata Orodha ya Majina walioitwa kusimamia
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu mshahara wa afisa mtendaji wa kata. Huyu ni mtumishi wa umma anayefanya kazi kwa niaba ya serikali katika ngazi ya kata. Kazi yake ni muhimu sana kwa maendeleo ya wananchi, lakini je, hulipwa kiasi gani? Katika makala hii tutaangalia kwa undani kuhusu mshahara wa afisa mtendaji wa kata, ngazi ya mshahara wake, majukumu anayofanya na hali ya maisha yake kwa ujumla. Afisa Mtendaji wa Kata ni Nani? Afisa Mtendaji wa Kata ni mtumishi wa serikali anayesimamia shughuli zote za maendeleo katika kata. Yeye ni kiunganishi kati ya serikali ya wilaya na wananchi wa kata. Ana…
GSM Group ni kundi la makampuni linaloongozwa na ubunifu, likitoa huduma mbalimbali barani Afrika. Sekta zetu ni pamoja na biashara, uzalishaji viwandani, usafirishaji na ugavi, rejareja pamoja na mali isiyohamishika. Tunafanya shughuli zetu Afrika Mashariki, Kati na Kusini, tukiwa na timu ya zaidi ya wafanyakazi 3,000 wenye sifa na ujuzi wa hali ya juu. Lengo letu ni kupanua biashara zetu kimataifa na kutoa mchango chanya kwa jamii tunazohudumia. Tumejizatiti kutoa huduma bora na bidhaa zenye ubora wa juu, huku tukiunganisha makampuni, watu wenye vipaji na rasilimali za kiwango cha kimataifa. Soma pia: Nafasi za kujiunga na Jeshi JKT 2026 –…