Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka sasa wanaweza kuangalia Selection Kidato cha Tano 2026 shule walizopangiwa na vyuo kupitia mfumo rasmi wa TAMISEMI. Kupitia mfumo huu, wanafunzi wanaweza kuona majina yao, shule au chuo walichopangiwa pamoja na combination watakayosomea kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Selection hizi hutolewa rasmi na TAMISEMI baada ya kuchakata matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne. Mbali na shule za Advanced Level, baadhi ya wanafunzi hupangiwa vyuo vya kati kulingana na ufaulu na uchaguzi wao. Tamisemi Form five Selection 2026 Ili kuangalia majina ya waliochaguliwa, fuata hatua hizi rahisi: ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAGEITAIRINGAKAGERAKATAVIKIGOMAKILIMANJAROLINDIMANYARAMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZANJOMBEPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASIMIYUSINGIDASONGWETABORATANGA Angalia Taarifa…
Serikali ya Tanzania kupitia Secretariat ya ajira -Ajira portal imetangaza Nafasi mpya za kazi walimu kwa daraja la III A, B na C kwa mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuongeza idadi ya walimu katika shule za msingi na sekondari, na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Ajira hizi zinalenga kuwapa fursa walimu wenye sifa zinazohitajika, ikiwa ni pamoja na walimu daraja III A, kwa ajili ya kujaza pengo lililopo katika masomo ya sayansi, hisabati, biashara na masomo mengine muhimu. Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above click here to view or download…
Hizi hapa timu zilizopangwa na yanga katika hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika msimu huu. Timu hizi ndio zitachea na yanga kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa afrika. Kundi B Soma pia: Ratiba ya Mechi za Yanga SC – Ligi kuu NBC 2025/2026
Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, vijana hao waliofanikiwa kufaulu usaili wanatakiwa kufanya mafunzo namna sahihi ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu mwaka huu Zoezi hili la kusimamia uchaguzi litasimamiwa na tume ya uchaguzi NEC, Orodha ya majina ipo hapa chini PDF MAJINA YA WALIOITWAA MAFUNZO MOROGORO UCHAGUZI Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 Kigamboni
Majina ya waliochaguliwa Awamu ya pili kujiunga na Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yamewekwa wazi na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kushirikiana na DUCE. Orodha hii inajumuisha wanafunzi waliochaguliwa kwa awamu mbalimbali—yaani awamu ya kwanza, pili, tatu, na nne—kwa programu za Shahada ya Kwanza, Stashahada, na programu nyingine za elimu ya juu. Ili kupata orodha kamili ya majina ya waliochaguliwa, tafadhali tembelea tovuti rasmi ya DUCE kupitia kiungo hiki: https://duce.ac.tz. Katika tovuti hiyo, tafuta sehemu ya “Selection Results 2025/2026” au “Majina ya Waliochaguliwa DUCE 2025” ili kupakua orodha ya waliochaguliwa…
Kila mwaka, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hutoa nafasi kwa vijana wa Kitanzania kujiunga na mafunzo ya kijeshi kwa lengo la kujifunza uzalendo, ukakamavu, na stadi muhimu za maisha. Kwa mwaka 2025, nafasi za kujiunga na JKT kwa kujitolea zinatarajiwa kutangazwa hivi karibuni – huenda hata ndani ya mwezi huu wa Oktoba. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni taasisi ya kijeshi iliyoanzishwa kwa lengo la kuwajengea vijana uzalendo, maadili mema, na uwezo wa kushiriki katika shughuli za maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kupitia mafunzo ya JKT, vijana hupata nafasi ya: Utaratibu wa Kutangaza Nafasi za Kujiunga na JKT kwa Kujitolea…
Mashabiki wa soka nchini Tanzania wana sababu ya kufuatilia kwa karibu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, baada ya ratiba ya mechi za hatua ya makundi kwa Taifa Stars kuwekwa wazi. Mashindano haya yanatoa fursa kwa Tanzania kuonyesha uwezo wake barani Afrika, huku kila mchezo ukiwa na umuhimu mkubwa katika harakati za kusonga mbele kwenye hatua ya mtoano. Katika hatua ya makundi, Taifa Stars itakutana na wapinzani wakubwa na wenye uzoefu, jambo linalohitaji maandalizi makini na mshikamano mkubwa kutoka kwa wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki. Kila pointi itakuwa ya thamani kubwa katika kundi hili lenye ushindani…
Leo wapenzi wa burudani watashuhudia Mechi kali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga (Kariakoo Derby) itakayochezwa uwanja wa Benjami Mkapa. Timu zote zimefanya usajili mzuri kuongeza wachezaji pamoja na kupunguza wachezaji waliokosa nafasi katika kikosi cha kwanza na cha pili. Matokeo ya Mechi ya Ngao ya Jamii Simba vs Yanga leo Kutokana na timu hizi kujiandaa vizuri pamoja na usajili uliofanyika basi tutegemee timu kuwa na ushindani mkubwa tofauti na awali, Hivyo timu yeyote itakayo fanya makosa leo ipo hatarini kupoteza mechi hii. Ikumbukwe kuwa Yanga imeifunga simba mechi 5 mfululizo, Je leo hii simba atakataa uteja…
Safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ni moja ya njia maarufu nchini Tanzania, hasa kwa wasafiri wa ndani wanaohitaji usafiri wa kuaminika na nafuu. Kwa kutumia mabasi ya Dar kwenda Dodoma, wasafiri wanaweza kufurahia safari yenye mandhari ya kuvutia, huduma bora, na gharama nafuu ukilinganisha na usafiri wa anga. Katika blog post hii, tutakupa mwongozo wa kina wa kila kitu unachopaswa kujua kabla ya kuanza safari yako. Kampuni Maarufu za Mabasi ya Dar kwenda Dodoma Kuna kampuni kadhaa za mabasi zinazoendesha safari za kila siku kati ya Dar es Salaam na Dodoma. Hapa ni baadhi ya kampuni zinazojulikana…
Matokeo ya mechi kati ya Yanga sc vs Wiliete sc leo 0-3 hii hatua ya awali ligi y mabingwa Africa (CAF Champions league) Katika mchezo wa awali wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League), klabu ya Yanga SC kutoka Tanzania imetupa karata yake dhidi ya Wiliete sC ya Angola kwenye uwanja wa Estadio 11 de Novembro. Mchezo huu uliopigwa leo saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, umejaa ushindani mkali na kiwango bora cha soka kutoka kwa pande zote mbili. Timu zote zilionekana kuwa na maandalizi ya kutosha, jambo lililodhihirika kupitia mbinu…