Majina ya walioitwa kwenye usaili (Interview) wa UTUMISHI hutolewa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma baada ya mchakato wa awali wa uchambuzi wa maombi kukamilika. Orodha hii hujumuisha waombaji waliokidhi vigezo vilivyotajwa kwenye tangazo la nafasi za kazi husika. Kuitwa kwenye usaili ni hatua muhimu inayowapa nafasi waombaji waliochaguliwa kuonyesha uwezo wao mbele ya wajumbe wa usaili kwa ajili ya kuajiriwa katika nafasi za utumishi wa umma. Waombaji wanashauriwa kufuatilia matangazo rasmi kupitia tovuti ya Sekretarieti au vyombo vingine vya habari vilivyoidhinishwa.
Bonyeza hapo chini kupakua pdf majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi wa Umma:
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA 04-06-2025
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA 04-06-2025
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE 04-06-2025
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA, 04-06-2025
Mapendekezo ya Mhariri: