Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa N-Card, basi unajua thamani ya kuwa na salio la kutosha kwa ajili ya kununua tiketi za mpira, kuingia kwenye matukio ya michezo, au huduma nyingine zinazohusiana. Kwa bahati nzuri, kuongeza salio kwenye N-Card ni rahisi kupitia huduma kuu za kifedha kwa simu nchini Tanzania: M-Pesa (Vodacom), Mixx by Yas (Tigo Pesa), Airtel Money, na sasa pia Halopesa. Katika muongozo huu, tutaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti yako ya N-Card kwa kila mtandao. Jinsi ya Kuongeza Salio N-Card kwa M-Pesa (Vodacom) Jinsi ya Kuongeza Salio N-Card kwa Mixx by Yas (Tigo Pesa)…
Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) – Kampasi ya Temeke ni taasisi ya serikali inayotoa mafunzo bora katika sekta ya utalii na ukarimu. Kampasi hii iko katika Mtaa wa Mahunda, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, takribani kilomita 10 kutoka katikati ya jiji. Inatoa kozi mbalimbali zinazotambulika kitaifa na kimataifa, na ni chaguo bora kwa wale wanaotaka kujiendeleza katika sekta hii. Kozi Zinazotolewa Chuo cha Utalii Temeke Kampasi ya Temeke inatoa kozi katika ngazi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na: Sifa za Kujiunga na Chuo cha Utalii Temeke Sifa za kujiunga zinategemea ngazi ya kozi na fani husika: Ada za Masomo…
Tanga ni moja ya miji mikongwe yenye historia ndefu na fukwe za kuvutia kaskazini-mashariki mwa Tanzania. Ikiwa unatafuta njia rahisi, salama na ya gharama nafuu kufika Tanga kutoka Dar es Salaam, basi usafiri wa basi ni chaguo bora. Safari hii hupitia maeneo mazuri kama Bagamoyo, Pangani na Muheza, na huchukua muda mfupi ukilinganisha na safari za kuelekea mikoa ya mbali zaidi. Hapa chini tumekuandalia mwongozo kamili kuhusu mabasi ya Dar kwenda Tanga kwa mwaka 2025. Kampuni Maarufu za Mabasi ya Dar kwenda Tanga Mabasi mengi yanayotoa huduma kati ya Dar na Tanga yanafanya safari kila siku. Zifuatazo ni baadhi ya…
Serikali imetangaza Nafasi mpya za kazi za walimu 3,500 kwa mwaka 2025 kupitia MDAs na LGAs kwa lengo la kuongeza nguvu kazi katika shule za msingi na sekondari nchini. Ajira hizi ni sehemu ya juhudi endelevu za serikali katika kuboresha sekta ya elimu na kupunguza tatizo la upungufu wa walimu katika maeneo mbalimbali ya nchi. Walimu watakaopangiwa kupitia MDAs na LGAs watachangia katika kuinua ubora wa elimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora katika mazingira salama na yenye ufanisi. Serikali imesisitiza kuwa mchakato huu unalenga kuhakikisha usawa wa upatikanaji wa walimu katika kila mkoa na halmashauri nchini. Bonyeza hapa kupata…
Katika mfumo wa haki jinai wa Tanzania, makosa yenye dhamana ni yale ambayo mtuhumiwa anaweza kuachiliwa kwa masharti maalum wakati uchunguzi au kesi ikiendelea. Dhamana hutolewa na polisi au mahakama kulingana na uzito wa kosa na mazingira ya kesi husika, kwa mujibu wa Kifungu cha 148 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), Sura ya 20. Makosa Yenye Dhamana: Maelezo ya Kisheria Makosa yanagawanyika katika makundi mawili makuu: Katika makosa yenye dhamana, mtuhumiwa haruhusiwi kubaki rumande bila sababu za msingi, na anaweza kuomba kuachiliwa huru kwa masharti hadi kesi yake isikilizwe na kuamuliwa. Orodha ya Makosa Yenye Dhamana…
Pacific International Lines (PIL) ni kampuni kubwa ya usafirishaji ya Singapore, iliyoanzishwa mnamo mwaka 1967 na mjasiriamali Chang Yun Chung. Kampuni hii ni miongoni mwa kampuni kumi bora za usafirishaji wa meli duniani, ikiwa na meli takribani 100 zenye uwezo wa kubeba zaidi ya TEU 300,000. PIL inahudumia wateja katika zaidi ya maeneo 500 katika nchi 90 duniani, ikiwa na mtandao mkubwa wa huduma za meli katika Asia, Afrika, Mashariki ya Kati, Amerika ya Kusini, Oceania, na Visiwa vya Pasifiki. Huduma zake zinajumuisha usafirishaji wa mizigo ya aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mizigo kavu, iliyohifadhiwa, na ya vipengele maalum.…
Katika uhusiano wa kimapenzi, upendo ni nguzo muhimu inayobeba na kuimarisha mahusiano. Hata hivyo, wakati mwingine, mapenzi yanapopungua au kuisha, inaweza kuwa vigumu kugundua dalili za mwanamke asiyekupenda. Wakati mwingine, tunajikuta tukiendelea kutegemea vitu visivyo na maana au tunakataa kutambua mabadiliko yanayoendelea, lakini ukweli ni kwamba dalili za kutokupenda zinaweza kuwa wazi, ingawa mara nyingi hazitambuliwi mapema. Dalili 8 za mwanamke asiyekupenda Katika blogu hii, tutazungumzia dalili ambazo zinaweza kuonyesha kuwa mwanamke asiyekupenda. Hizi ni ishara zinazoweza kutoa mwanga kuhusu hali ya uhusiano wako, ili uweze kuchukua hatua stahiki kabla uhusiano wako haujaharibika zaidi. 1. Kukosa Shauku au Hamasa ya…
Orodha ya vituo vya usaili wa mahojiano ajira mpya za walimu na Ualimu kuanzia Tarehe 15 December 2025 hadi Tarehe 23 December 2025. Wasailiwa wote wanatakiwa kihakikisha wanakuwa na viambata muhimu vinavyohitajika wakati wa usaili ili kuepuka usumbufu. BONYEZA HAPA KUPATA VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO Soma pia:
Kama unatafuta chuo cha ualimu chenye msingi wa maadili, elimu bora, na mazingira rafiki ya kujifunza, basi Chuo cha Ualimu Waama Lutheran ni miongoni mwa taasisi bora unazopaswa kuzingatia. Kikiwa kimesajiliwa na kutambuliwa na mamlaka husika kama NACTVET, chuo hiki kinatoa mafunzo ya ualimu kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada, kwa lengo la kuandaa walimu wenye taaluma na maadili kwa shule za msingi na sekondari. Katika makala hii, utapata mwongozo kamili kuhusu Chuo cha Ualimu Waama Lutheran: Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga kwa mwaka wa masomo 2025. Tutakuonyesha kila unachohitaji kujua kabla ya kujiunga, ikiwemo vigezo vya usajili,…
Katika dunia ya leo, ambapo fursa za ajira zinapungua, watu wengi wamegeukia biashara ndogo zenye mtaji mdogo kama njia mbadala ya kujipatia kipato. Ikiwa una mtaji wa laki na nusu (Tsh 150,000) na hujui uanzie wapi, basi huu ni mwongozo sahihi kwa ajili yako. Katika makala hii, tutakuonyesha: Biashara ya mtaji wa 150000 Laki na nusu Watu wengi hudhani kwamba unahitaji mamilioni ili kuanzisha biashara, lakini ukweli ni kwamba biashara ya mtaji wa 150000 inaweza kuwa mwanzo mzuri wa safari yako ya ujasiriamali. Mtaji huu unaweza kukuanzishia biashara inayokua hatua kwa hatua kama: Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Mtaji wa…