Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Katika dunia ya mawasiliano ya kidijitali, kuelewa code za mitandao ya simu duniani ni jambo la msingi kwa yeyote anayetaka kupiga au kupokea simu kutoka nje ya nchi. Kila nchi ina namba ya kipekee ya simu ya kimataifa (pia huitwa country calling code), ambayo hutanguliwa na ishara ya “+” kabla ya kuingiza namba ya simu unayopiga. Katika blogi hii, tutakuletea orodha ya baadhi ya code maarufu duniani, matumizi yake, na jinsi ya kuzipata kwa haraka. Namba za kimataifa ni misimbo ya kupiga simu nje ya nchi yako. Kwa mfano, ukiwa Tanzania na unataka kupiga simu Marekani, lazima utumie +1 kabla…
Matokeo ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja III C Kemia ajira portal yametangazwa rasmi, yakionesha majina ya waombaji waliofanikiwa kufaulu hatua hii muhimu ya mchakato wa ajira. Usaili huu ulilenga kupima uelewa wa kitaaluma, uwezo wa kufundisha somo la Kemia, pamoja na ujuzi wa kuwasilisha majibu kwa usahihi kulingana na mtaala husika. Waombaji waliopita hatua ya kuandika wanatarajiwa kuendelea na hatua inayofuata ya usaili kulingana na maelekezo yatakayotolewa na mamlaka husika. BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MATOKEO
TAMISEMI Imetoa orodha ya waliopangiwa kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2026, sambamba na hilo wametoa fomu za kujiunga (Joining Instructions) zenye vitu muhumi kwa wanafuni kuwa navyo wakati wanaenda shuleni kwa wale wa bweni na day. Joining Instructions na Fomu za kujiunga na sekondari kidato cha kwanza 2025-2026 Maelekezo namna ya kupata fomu za kujiunga joining instructions za kidato cha kwanza, Tafadhari chagua mkoa husika ambao mwanafunzi amefanyia mtihani shule ya msingi, Kisha chagua shule aliyosoma, utamalizia kubonyeza jina la shule aliyopangiwa kwenda ili uweze kupakua fomu hiyo ya kujiunga. ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAGEITAIRINGAKAGERAKATAVIKIGOMAKILIMANJAROLINDIMANYARAMARAMBEYAMOROGOROMTWARAMWANZANJOMBEPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASIMIYUSINGIDASONGWETABORATANGA Soma pia:
Various Job vacancies at UDSM for march and April months. Read full details and descriptions such as responsibilities, qualifications, and offers that are announced. The University of Dar es Salaam (UDSM) is one of the most prominent and oldest higher education institutions in Tanzania. Established in 1961, it started as a college within the University of London before gaining independence as a full-fledged university in 1970. Located in Dar es Salaam, the country’s largest city and commercial hub, UDSM has grown to become a leading institution of learning, offering a wide array of undergraduate and postgraduate programs. The university is…
Orodha ya Majina waliochaguliwa kufanya mafunzo – semina ya kusimamia uchaguzi mkuu mwaka 2025, Orodha hii ipo majina ya Wasimamizi wakuu, wasaidizi na makarani kwa kata na majimbo yote yaliyo Ubungo na kibamba. Bonyeza hapa kupata orodha ya Majina ya walioitwa mafunzo kusimamia uchaguzi Soma pia:
Simba SC, moja ya vilabu vikubwa na vyenye mashabiki wengi zaidi Afrika Mashariki, ipo katika harakati kabambe za kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/26. Katika kipindi hiki cha dirisha la usajili, tetesi mbalimbali zimeibuka kuhusu wachezaji wanaotarajiwa kuondoka na wale wanaowindwa kujiunga na kikosi hicho cha Wekundu wa Msimbazi. Mashabiki wanasubiri kwa hamu mabadiliko yatakayofanyika, huku uongozi ukiahidi kufanya usajili wa kimkakati ili kurejesha makali ya timu ndani ya nchi na katika mashindano ya kimataifa. Tetesi za usajili simba Dirisha kubwa 2025 – 2026 Uongozi wa Simba kupitia Ally na Magori wamethibitisha kwamba wapo kwenye mchakato wa usajili wa…
Watumishi wa serikali za mitaa kama walimu, wauguzi, na maafisa wa afya mara nyingi huomba uhamisho kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kuungana na familia, matatizo ya kiafya au masuala ya kiutumishi. Hata hivyo, kabla ya kuhamia kituo kingine cha kazi, mtumishi anatakiwa kupata kibali cha uhamisho kutoka TAMISEMI – mamlaka yenye dhamana ya kusimamia rasilimali watu katika mamlaka za serikali za mitaa. Katika blog hii, tutaeleza kwa kina kuhusu kibali hiki, umuhimu wake, na jinsi ya kukipata kwa njia sahihi na halali. Kibali cha Uhamisho kutoka TAMISEMI ni Nini? Hiki ni ruhusa rasmi inayotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa…
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha dhahabu kwa wingi barani Afrika, ikiwa na migodi mikubwa kama Geita, Bulyanhulu, na North Mara. Sekta ya madini, hususan dhahabu, inachangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha mapato ya kigeni. Bei ya dhahabu ni kipengele muhimu kinachovutia wawekezaji na wadau mbalimbali katika sekta hii. Bei ya Dhahabu Nchini Tanzania Mwaka 2025 Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, bei ya dhahabu ghafi nchini Tanzania inakadiriwa kuwa kati ya TZS 288,000 hadi 289,000 kwa gram ya dhahabu ya 24K. Bei hii inategemea ubora, uzito, na soko la kimataifa. Kwa…
VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi ya Serikali ya Tanzania inayohusika na utoaji wa mafunzo ya ufundi stadi kwa lengo la kuwawezesha vijana kupata ujuzi, maarifa, na uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa katika sekta mbalimbali. VETA inatoa kozi fupi na ndefu zinazolenga mahitaji ya soko la ajira kupitia vituo vyake vilivyopo nchi nzima. Mafunzo ya VETA yanagusa sekta nyingi muhimu kama ufundi magari, umeme, ujenzi, teknolojia ya mitambo, habari na mawasiliano, utalii, biashara, sanaa, na kilimo. Wanafunzi wanaopenda kujiunga wanapaswa kuchagua kozi kulingana na uwezo na matarajio yao ya kazi. Orodha ya Kozi Zinazotolewa na VETA 1. Sekta…
Majina ya walioitwa kufanya usaili jimbo la mtumba, Orodha hii imeambatana na vituo vya kufanyia usaili pamoja na tarehe husika. Bonyeza hapo chini kupata orodha kamili: PDF ya wasimamizi wa Vituo vya kupiga kura Makarani waongozaji wapiga kura