Author: noteswpadmin

Katika mfumo wa kisheria wa Tanzania, makosa ya jinai ni vitendo vinavyokiuka sheria na kuathiri mtu binafsi, jamii, au taifa kwa ujumla. Ili kuweza kuelewa kwa kina, ni muhimu kujua aina mbalimbali za makosa ya jinai na vifungu vyake, kama vilivyoainishwa kwenye Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 (Penal Code Cap. 16 R.E 2022). Aina Kuu za Makosa ya Jinai na Vifungu Vyake 1. Mauaji (Murder) 2. Kuua Bila Kukusudia (Manslaughter) 3. Wizi wa Kawaida 4. Wizi wa kutumia nguvu (Armed Robbery) 5. Ubakaji 6. Ujeruhi Mbaya (Grievous Harm) 7. Utapeli (Obtaining by False Pretences) 8. Rushwa (Corruption) 9. Kujeruhi…

Read More

Chuo cha Ualimu King’ori, kilichopo Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ni moja kati ya vyuo vya kati vinavyotoa mafunzo ya ualimu kwa ngazi ya cheti na diploma. Chuo hiki kimejipambanua kwa kutoa elimu bora katika mazingira ya utulivu, kinachochanganya maadili ya kijamii na taaluma ya kisasa. Kwa wale wanaotamani kuwa walimu wa msingi au sekondari, Chuo cha Ualimu King’ori kinatoa nafasi ya kipekee ya kujifunza kwa vitendo na nadharia. Katika makala hii, tutakuletea maelezo muhimu kuhusu Chuo cha Ualimu King’ori: Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga kwa mwaka wa masomo 2025. Kozi Zinazotolewa na Chuo cha Ualimu King’ori Chuo…

Read More

Kamishna wa jeshi la Magereza leo ametangaza majina ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili wa jeshi la magereza Tanzania. Vijana wote walioomba wanatakiwa kuangalia majina yao kama wamechaguliwa haraka iwezekanavyo ili kujiandaa na usaili huo. Orodha hiyo ya majina inapatikana katika PDF >> BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA WALIOCHAGULIWA USAILI JESHI LA MAGEREZA Soma pia: Tarehe na Mahali Kufanyia Usaili Magereza 2025

Read More

Tazama hapa Orodha ya vituo vya kufanyia Usaili (Interview) za MDAs & LGAs, Walimu na Kada ya Afya AJIRA PORTAL kwa mikoa yote nchi nzima. Katika hatua ya kuajiri watumishi wa umma, taasisi mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) na Mamlaka za Serikali Kuu (MDAs), hutumia mfumo wa Ajira Portal kuwezesha mchakato wa ajira kwa uwazi na ufanisi. Mfumo huu ni muhimu sana kwa watumishi wa serikali na wale wanaotafuta ajira, kwani unatoa taarifa muhimu kuhusu vituo vya usaili, tarehe za usaili, na mchakato mzima wa ajira. Jinsi ya kuangalia vituo vya kufanyia…

Read More

Four Seasons Hotels and Resorts is a globally recognized luxury hospitality brand known for its exceptional service, elegant accommodations, and unparalleled guest experiences. Founded in 1960, the company has grown into one of the world’s most prestigious hotel chains, with over 100 properties located in major cities and resort destinations across the globe. Four Seasons prides itself on offering personalized service that anticipates the unique needs of each guest, whether they’re visiting for business, leisure, or special events. The brand’s commitment to excellence is reflected in its signature offerings, such as world-class dining, luxurious spas, and bespoke concierge services, all…

Read More

Nafasi za kazi kutoka Serikalini ni miongoni mwa ajira zinazohitajika sana kutokana na utulivu, mafao ya uhakika, na fursa za maendeleo ya kitaaluma. Kila mwaka, serikali kupitia taasisi mbalimbali kama Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hutangaza nafasi za kazi kwa umma, ili kujaza mapungufu katika idara na wizara zake. Nafasi hizi huwa wazi kwa watanzania wenye sifa stahiki, na zinajumuisha nyanja mbalimbali kama afya, elimu, sheria, uhasibu, na uhandisi. BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF YA TANGAZO LA KAZI SERIKALINI Waombaji wanapaswa kufuata taratibu rasmi za uombaji ikiwemo kujaza fomu mtandaoni, kuwasilisha vyeti halisi, na kuhudhuria usaili endapo wataitwa. Mfumo…

Read More

Majina ya kuitwa kazini Utumishi leo 2026 ni taarifa muhimu kwa waombaji wa ajira za Serikali waliokuwa wakisubiri kwa hamu matokeo ya usaili. Kupitia tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora, waombaji wanaweza kuona orodha ya majina ya waliofanikiwa kuitwa kazini kwa kada na taasisi mbalimbali za umma. Tangazo hili linaonyesha hatua ya mwisho ya mchakato wa ajira na linawataka walioteuliwa kufuata maelekezo yaliyotolewa, ikiwemo tarehe ya kuripoti kazini, nyaraka muhimu na kituo cha kazi walichopangiwa. PDF za Majina walioitwa kazini Utumishi Soma pia: PDF za walimu walioitwa kazini Ajira Portal 2025 – 2026

Read More

Huduma ya EMS (Express Mail Service) ni njia ya haraka na ya uhakika ya kutuma barua, vifurushi na mizigo ndani ya Tanzania. Huduma hii inasimamiwa na Posta Tanzania na inajulikana kwa kasi, usalama na ufanisi. Katika makala hii, tutaangazia kwa undani gharama za kutuma: Gharama za Kutuma Mzigo na Vifurushi Posta ( EMS Cargo) Gharama za Kutuma Barua (Uzito wa Juu 2 Kgs) Kwa wateja wanaotuma barua, EMS inatoza kulingana na uzito wa barua husika. Hapa chini ni viwango vya bei: Viwango vya Gharama kwa Barua: UzitoGharama (TZS)Hadi 20 gms900/=21 – 50 gms1,400/=51 – 100 gms1,700/=101 – 250 gms2,000/=251 –…

Read More