By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Vituo vya Usaili Jeshi la Polisi 2025
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Call for Job interview

Vituo vya Usaili Jeshi la Polisi 2025

admin
Last updated: April 23, 2025 10:41 am
admin
Share
SHARE

Tazama vituo vya kufanyia Usaili Ajira za Jeshi la Polisi 2025. Baada ya kutangazwa kwa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa ajira za polisi, pia jeshi la polisi limetoa orodha ya vituo ambavyo usaili huo utafanyika kwa Tanzania Bara na visiwa (Zanzibar).

Kwa Tanzania Bara, wenye Elimu ya Kidato cha nne na cha sita watafanyia usaili kwenye ofisi za makamanda wa mikoa walipoombea na kwa wenye Elimu ya Astashahada, stashahada na Shahada watafanyia usaili kwenye uwanja wa polisi kilwa (Police Barrack) mkoani Dar es salaam.

Kwa Zanzibar, wote wenye Elimu ya kidato cha nne, sita, astashahada, stashahada na Shahada waliopo unguja watafanyia usaili ofisi ya mkuu wa polisi na kwa waliopo pemba watafanyia usaili katika ofisi ya mkuu wa polisi mkoa wa pemba chakechake

TAGGED:Vituo vya Usaili Jeshi la Polisi 2025

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2025 Tangazo Majina walochaguliwa Jeshi la Polisi 2025
Next Article Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2025 Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2025
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania
Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania 2025 – Bei na Gharama
Makala mbalimbali
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 - Bei na Gharama zake
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 – Bei na Gharama zake
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Tanzania 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali

You Might also Like

Ratiba ya Usaili wa Mahojiano na vitendo TRA 2025
Call for Job interview

Ratiba ya Usaili wa Mahojiano na vitendo TRA 2025

0 Min Read
Matokeo ya usaili wa Kuandika Ajira za TRA
Call for Job interview

Matokeo ya usaili wa Kuandika Ajira za TRA kutangazwa 25 April 2025

0 Min Read
Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2025
Call for Job interview

Majina ya walioitwa usaili Ajira za Jeshi la Polisi 2025

2 Min Read
Majina ya walioitwa Usaili MDAs & LGAs, 2025
UncategorizedCall for Job interview

Majina ya walioitwa Usaili MDAs & LGAs, 2025

1 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?