Mfumo wa maombi ya kazi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) – Judiciary Portal ni jukwaa rasmi linalotumika kupokea na kuchakata maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali ndani ya mahakama. Mfumo huu wa kidigitali hurahisisha mchakato wa kutuma maombi kwa waombaji kwa kuwawezesha kujaza taarifa binafsi, kitaaluma, na za uzoefu wa kazi kwa njia ya mtandao. Kupitia mfumo huu.

JIUNGE HAPA NA MFUMO WA OAS JUDICIARY PORTAL
Tume hupokea maombi kwa uwazi na haki, kuhakikisha kuwa kila mwombaji anapewa nafasi ya kuwasilisha sifa zake kwa usawa. Aidha, mfumo huu husaidia kuimarisha uwajibikaji, kupunguza upendeleo, na kuharakisha uteuzi wa watumishi wenye sifa stahiki katika idara za mahakama nchini.
Mapendekezo ya Mhariri: