Tume ya Utumishi wa Mahakama inatangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa Watanzania wenye sifa na vigezo stahiki kujiunga na utumishi wa umma katika sekta ya mahakama. Nafasi hizi zinahusisha kada tofauti tofauti kama vile waandishi wa mahakama, makatibu mahsusi, madereva, na watunza kumbukumbu, miongoni mwa nyingine. Lengo ni kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma ndani ya mahakama kwa kuhakikisha kuwa kunakuwa na rasilimali watu ya kutosha na yenye weledi. Waombaji wanahimizwa kuwasilisha maombi yao kwa kufuata taratibu zilizowekwa kupitia tovuti rasmi ya Tume au kupitia mfumo wa ajira wa serikali (recruitment portal). Hii ni fursa nzuri kwa wale wanaopenda kuhudumu katika mfumo wa haki na sheria, na kuchangia katika uboreshaji wa huduma za mahakama nchini.
No. | Kada | Nafasi | Kituo cha Kazi | Closing Date | |
---|---|---|---|---|---|
1 | CIVIL TECHNICIAN II (CARPENTER) | Nafasi 3 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
2 | CIVIL TECHNICIAN II (PAINTER) | Nafasi 3 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
3 | TECHNICIAN II (ELECTRICAL) | Nafasi 4 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
4 | TECHNICIAN II (PLUMBING) | Nafasi 6 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
5 | TECHNICIAN II (AIR CONDITION (HVAC) | Nafasi 10 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
6 | TECHNICIAN II (WELDING AND FABRICATION TECHNICIAN) | Nafasi 2 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
7 | MSAIDIZI WA OFISI | Nafasi 42 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
8 | MLINZI | Nafasi 3 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
9 | DEREVA II | Nafasi 33 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
10 | MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II | Nafasi 46 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
11 | AFISA MWENDESHA OFISI DARAJA II | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
12 | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II | Nafasi 80 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
13 | MPISHI | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
14 | MSAIDIZI WA MAKTABA II | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
15 | MKUTUBI II | Nafasi 2 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
16 | OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI | Nafasi 8 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
17 | OPERATA WA KOMPYUTA II | Nafasi 5 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
18 | MSAIDIZI WA HESABU II | Nafasi 10 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
19 | AFISA UTUMISHI II | Nafasi 10 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
20 | HAKIMU MKAZI II | Nafasi 46 | Mahakama ya Tanzania | Tuesday 17 June 2025 | Apply |
Soma pia: