Form Five Selection hutolewa na TAMISEMI kwa wanafunzi wote wa Tanzania Bara waliofaulu mtihani wa kidato cha nne. Orodha ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano au vyuo vya ufundi hutangazwa kwa kufuatia mikoa yote ya Tanzania, ikiwemo mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Geita, Iringa, Kagera, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Njombe, Pwani, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, Tabora na Tanga.
Kutazama majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mikoa yote bofya hapa
Soma pia: