Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Orodha ya pdf ya majina kwenye usaili kada ya Afya ikihusisha Madaktari, Matabibu (Clinical Officer), waugui manesi na.k kwenye taasisi ya MDAs & LGAs mwezi huu wa 12. Wasailiwa wote wanafamishwa kutazama majina yao na vituo walivyopangiwa kufanya usaili. BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA YA USAILI Soma pia:
Sikukuu za kitaifa Tanzania – Public holidays zimeundwa kutambua historia, tamaduni na mafanikio ya taifa—kuanzia Mapinduzi ya Zanzibar hadi Nane Nane ya wakulima na Sikukuu ya Uhuru. Kila mwaka Serikali huweka ratiba rasmi ya sikukuu na Mapumziko; kwa 2025 orodha ya siku za kitaifa ni kama ifuatavyo (kwa kuzingatia kwamba sikukuu za kiislamu zinaratibiwa kulingana na kuandama kwa mwezi). Orodha ya Sikukuu za Kitaifa Tanzania 2025 Sikukuu za Kitaifa Tanzania za kiislamu (Eid ul-Fitr / Eid al-Adha / Maulid) zinaweza kubadilika kulingana na uamuzi wa Mabaraza ya Waislamu na kuandama kwa mwezi. Soma pia:
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa taarifa leo Jumatatu, tarehe 1 Desemba 2025, kuhusu matokeo ya awamu ya tatu ya ugawaji wa mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2025/2026, ambapo jumla ya wanafunzi 21,851 wamepata ufadhili. Takwimu hizi zinahusisha waombaji wa rufaa pamoja na wanafunzi wapya na wanaoendelea kama inavyoelezwa hapa chini: Bodi imesisitiza kuwa mchakato wa ugawaji mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na malipo kwa waliokwishaingia vyuoni utaendelea hadi ukamilike. KUPATA MAJINA TAFADHARI TEMBELEA ACCOUNT YAKO YA SIPA Soma pia:
Msimamo wa Championship Ligi Daraja la Kwanza Tanzania 2025/2026 unaendelea kuwa na ushindani mkali, huku timu zikionesha kiwango cha juu katika mbio za kupanda daraja. Kileleni mwa ligi kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya klabu zinazofanya vizuri zaidi, zikibadilishana nafasi kutokana na matokeo ya kila raundi. Safu ya kati imeendelea kuwa yenye ushindani wa karibu, kwa sababu tofauti ya matokeo si kubwa, jambo linalowafanya mashabiki kushuhudia msisimko kila wiki. Standings provided by Sofascore Soma pia:
Tazama hapa Msimamo wa Kundi la Simba sc Klabu Bingwa CAF Champions league msimu wa 2025 – 2026 Msimamo wa Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025 – 2026 Standings provided by Sofascore Soma pia: Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025 – 2026
Jeshi la magereza limetoa majina ya vijana waliofaulu usaili na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya jeshi la magereza Tanzania kwa mwaka 2025 BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA
Jeshi la Magereza Tanzania limetangaza orodha ya majina ya waliofaulu usaili na kuitwa kwenye mafunzo kwa mwaka 2025 BONYEZA HAPA KUPATA PDF MAJINA YA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO JESHI LA MAGEREZA
Tazama hapa msimamo wa kundi B la Yanga (Young African) katika hatua ya makundi ya caf champion league ama klabu bingwa Afrika msimu wa 2025-2026 Msimamo wa Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025 – 2026 Standings provided by Sofascore Soma pia: Msimamo wa Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025 – 2026
Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) ni moja ya mashindano makubwa ya klabu barani Afrika, na msimu wa 2025/2026 unaahidi ushindani mkubwa katika hatua ya makundi. Hapa chini tuchambue makundi, timu, matokeo ya awali na matarajio ya vikwazo. Msimamo wa Makundi Kombe la Shirikisho CAF 2025-2026 Msimamo wa Kundi A PosTimuPWDLGFGAGDPts1USM Alger110032142OC Safi110010133San-Pédro100123-104Djoliba100101-10 Msimamo wa Kundi B PosTimuPWDLGFGAGDPts1Wydad AC110030362Maniema Union110020233Azam100102-204Nairobi United100103-30 Msimamo wa Kundi C PosTimuPWDLGFGAGDPts1CR Belouizdad110020232Stellenbosch110010133Otôho d’Oyo100101-104Singida Black100102-20 Msimamo wa Kundi D PosTimuPWDLGFGAGDPts1Al Masry110021162Zamalek110010133Kaizer Chiefs100112-104ZESCO United100101-10 Soma pia:
Katika mwaka wa 2025, Serikali ya Tanzania imetangaza Nafasi mpya za Kazi sekta kada ya afya kwenye MDA’s (Ministries, Departments & Agencies) na LGAs (Halmashauri za Serikali za Mitaa) ili kukidhi mahitaji ya huduma za afya ngazi ya taifa na maeneo ya kijiji. Tangazo la ajira hizo limeonyesha nafasi za kada za afya, wahudumu wa afya na wataalamu wa sekta mbalimbali kwa Astashahada, stashahada na Shahada. ikilenga kupunguza upungufu wa watumishi wa afya na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. BONYEZA HAPA KUSOMA TANGAZO Soma pia: Nafasi 17,710 za kazi Kutoka MDAs & LGAs, October 2025