TCU Majina ya Form Six Selection 2026/2027 – Round ya Kwanza ni orodha ya wanafunzi waliopangiwa nafasi za kujiunga na vyuo mbalimbali nchini Tanzania kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Wanafunzi waliomaliza Form Six na kuomba admission kupitia vyuo vikuu mbalimbali wanashauriwa kufuatilia matangazo rasmi ya Tanzania Commission for Universities (TCU) pamoja na tovuti za vyuo walivyoviomba ili kujua kama wamepata nafasi katika awamu ya kwanza. Katika orodha hiyo, mwanafunzi anaweza kuona chuo alichopangiwa, programu ya masomo na maelekezo muhimu kuhusu hatua zinazofuata za kuthibitisha admission na kuripoti chuoni. Selection za Round ya Kwanza 2026/2027 ni muhimu kwa wanafunzi wote wanaosubiri majibu ya maombi yao ya kujiunga na elimu ya juu Tanzania.
Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
TCU Majina ya Form six Selection 2026/2027 – Round ya kwanza
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA