CVPeople Tanzania ni kampuni ya Kitanzania inayojihusisha na huduma za Human Resources (HR), recruitment na talent management, ikiwa imeanzishwa mwaka 2014. Kampuni hii huwasaidia waajiri kupata wafanyakazi wenye sifa na pia huwaunganisha job seekers na nafasi mbalimbali za ajira kupitia job board yao. CVPeople Tanzania pia hutoa huduma za Executive Search, Employer Branding, staffing, payroll outsourcing, HR consultancy na training, huku ikitangaza nafasi za kazi katika sekta mbalimbali nchini Tanzania.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
BONYEZA HAPO CHINI KUSOMA VIGEZO