TRA imetoa taarifa ya kupeleka mbele siku ya kutoa matokeo ya usaili wa kuandika ambapo ilibidi yatoke tarehe 25 april 2025 na sasa yatatoka tarehe 26 April 2025. Mamlaka ya mapato TRA imewaomba radhi wananchi kwa kupeleka mbele siku ya kutoa matokeo hayo.
Tangazo la Matokeo ya usaili wa kuandika TRA 2025
