Kwa mwaka wa masomo 2025, Ratiba ya Mtihani wa Taifa Kidato cha Nne – Form Four imepangwa kuanza tarehe 10 Novemba na kukamilika tarehe 28 Novemba 2025. Mitihani itafanyika katika vipindi viwili kila siku — kipindi cha asubuhi na cha jioni — ambapo masomo ya kitaaluma na mitihani ya vitendo itapangwa kulingana na ratiba rasmi iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Ratiba ya Mtihani wa NECTA kidato cha Nne 2025
Wanafunzi wanashauriwa kuzingatia ratiba hii kwa umakini, kupanga vyema muda wao wa kujisomea, na kuhakikisha wanatimiza masharti yote ya mitihani ili kuepuka changamoto au kuchelewa siku ya mtihani.
Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above Bonyeza Hapa Kupakua PDF ya Ratiba ya Kidato cha Nne 2025