Michuano ya AFCON 2025 inatarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 Desemba nchini Morocco, ambapo jumla ya timu 24 zitashiriki katika hatua ya makundi zikipambana kutafuta nafasi ya kufuzu kwenda kwenye hatua ya mtoano. Ratiba imeandaliwa kuonyesha mfululizo wa mechi za ushindani wa juu, huku mataifa yenye nguvu barani Afrika yakikutana mapema katika mbio za kuwania taji la bara.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Hapa chini utapata muhtasari kamili wenye maelezo muhimu kuhusu Ratiba Ya AFCON 2025 Hatua Ya Makundi, ukiainisha siku, saa za michezo na michezo husika kulingana na taarifa rasmi za mashindano.
AFCON 2025: Ratiba ya Mechi zote hatua ya Makundi
Jumapili • 21 Desemba 2025
- Morocco vs Comoros – 4:00 Usiku
Jumatatu • 22 Desemba 2025
- Mali vs Zambia – 11:00 Jioni
- Afrika Kusini vs Angola – 2:00 Usiku
- Misri vs Zimbabwe – 5:00 Usiku
Jumanne • 23 Desemba 2025
- Congo DR vs Benin – 9:30 Alasiri
- Senegal vs Botswana – 12:00 Jioni
- Nigeria vs Tanzania – 2:30 Usiku
- Tunisia vs Uganda – 5:00 Usiku
Jumatano • 24 Desemba 2025
- Burkina Faso vs Equatorial Guinea – 9:30 Alasiri
- Algeria vs Sudan – 12:00 Jioni
- Ivory Coast vs Msumbiji – 2:30 Usiku
- Cameroon vs Gabon – 5:00 Usiku
Ijumaa • 26 Desemba 2025
- Angola vs Zimbabwe – 9:30 Alasiri
- Misri vs Afrika Kusini – 12:00 Jioni
- Zambia vs Comoros – 2:30 Usiku
- Morocco vs Mali – 5:00 Usiku
Jumamosi • 27 Desemba 2025
- Benin vs Botswana – 9:30 Alasiri
- Senegal vs Congo DR – 12:00 Jioni
- Uganda vs Tanzania – 2:30 Usiku
- Nigeria vs Tunisia – 5:00 Usiku
Jumapili • 28 Desemba 2025
- Gabon vs Msumbiji – 9:30 Alasiri
- Equatorial Guinea vs Sudan – 12:00 Jioni
- Algeria vs Burkina Faso – 2:30 Usiku
- Ivory Coast vs Cameroon – 5:00 Usiku
Soma pia: