Author: noteswpadmin

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameihimiza Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira kuharakisha hatua zote za ajira mpya 12,000 zilizotangazwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa ufunguzi rasmi wa Bunge la 13 mnamo tarehe 14 Novemba 2025 jijini Dodoma. Ametoa maagizo hayo tarehe 24 Novemba 2025 katika ziara yake ya kwanza kwenye taasisi hiyo tangu alipoteuliwa na Rais Samia kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, tarehe 18 Novemba 2025.…

Read More

Leo ni siku muhimu kwenye Ligi ya Mabingwa ya CAF (Champions League) ya msimu wa 2025/2026, kwani mechi za awamu ya makundi zinaendelea kuamsha shauku kubwa miongoni mwa mashabiki wa soka barani Afrika. Ratiba ya Mechi za Leo Kwa mujibu wa ratiba rasmi ya CAF, awamu ya makundi (group stage) ya Ligi ya Mabingwa ilianza tarehe 21 Novemba 2025. Hivyo, mechi za leo zinatokana na mechi za “Matchday 1” au “Matchday 2” kulingana na makundi na matumizi ya siku. Kulingana na ripoti ya AfricanFootball.com, mechi muhimu zilizopangwa ni kama ifuatavyo: November 28, 2025 JS Kabylie vs Yanga scAzam fc vs…

Read More

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025–2026 imeanza rasmi tarehe 17 Septemba 2025, ikihusisha timu 16 kushindana kwa mfumo wa mikwaju ya nyumbani na ugenini (home and away) Mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya KMC FC na Dodoma Jiji, itakayopigwa katika Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Msimu huu unatarajiwa kuwa wa kusisimua, huku timu zote 16 zikipambana kwa mfumo wa ligi ya nyumbani na ugenini. Moja ya mechi zinazovutia zaidi katika ratiba hiyo ni Kariakoo Derby, inayozikutanisha mahasimu wa jadi, Simba SC na Yanga SC. Mechi ya kwanza ya watani hao wa jadi…

Read More

Yanga SC, moja ya klabu kubwa na maarufu katika soka la Tanzania, inajiandaa kwa msimu mwingine wa Ligi Kuu NBC 2025/2026. Kwa mashabiki wa Yanga, msimu huu unakuja na changamoto mpya, lakini pia ni fursa ya kuona timu yao ikifanya vyema mbele ya wapinzani wake. Hapa chini ni ratiba ya mechi za Yanga SC katika Ligi Kuu NBC premier kwa msimu wa 2025/2026. Ratiba ya Mechi za Yanga SC NBC 2025-2026 Yanga SC katika Ligi Kuu NBC 2025/2026 Ratiba ya mechi za Yanga SC katika Ligi Kuu NBC 2025/2026 ni changamoto kubwa kwa timu, lakini pia ni fursa ya kuthibitisha…

Read More

Tazama hapa Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2025 2026 Tanzania bara premier, timu zote simba, Yanga na Azam Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2025–26 utaanza rasmi tarehe 16 Septemba 202. Kabla ya kuanza, Bodi husika ilisisitiza umuhimu wa timu kufanya maandalizi ya kina—sio tu kuboresha safu za wachezaji, bali pia kuhakikisha miundombinu kama viwanja na ofisi za vifaa iko katika hali bora. Standings provided by Sofascore Soma pia:

Read More

Baraza la usimamizi wa Mitihani ya Taifa limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi yaani matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2025 na kuorodhesha shule za sekondari walizopangiwa vijana waliofaulu kuendelea na elimu ya sekondari. Baraza la mitihani ya Taifa NECTA linahimiza wazazi, walezi na wanafunzi kufatilia matokeo yao haraka iwezekanavyo ili kuweza kujua shule gani wamepangiwa. Hatua za kuangalia matokeo ya darasa la saba na shule walizopangiwa 2025 Unaweza kutazama matokeo ya darasa la saba kama ifutavyo: Soma pia: Matokeo ya Darasa la Saba 2025 – NECTA Results

Read More

Mfumo wa Maombi ya Ajira wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Zimamoto Ajira Portal (ajira.zimamoto.go.tz) ni mfumo wa kidijitali unaorahisisha mchakato wa kuwasilisha na kuchakata maombi ya ajira ndani ya jeshi hilo. Kupitia mfumo huu, waombaji wanaweza kuunda akaunti (Registration), kujaza taarifa binafsi, kupakia vyeti muhimu, na kufuatilia hatua za usaili bila kulazimika kuwasilisha nyaraka kwa njia ya karatasi. Portal hii imeboreshwa ili kuongeza uwazi, kurahisisha upatikanaji wa taarifa za nafasi za kazi, na kupunguza muda wa uombaji, hivyo kuifanya huduma ya ajira katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuwa ya kisasa, haraka na yenye ufanisi zaidi. Jinsi ya kujisajili…

Read More

Matokeo Yanga vs AS Far Rabat leo CAF Champions League Klabu bingwa Afrika. Mechi kati ya Yanga SC na AS FAR Rabat inakuja ikiwa na uzito mkubwa kwa mabingwa hao wa Tanzania, kwani ushindi kwenye mchezo huu ndiyo njia pekee ya kujipa nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata ya CAF Champions League. Katika kundi lenye ushindani mkubwa, kila pointi ina thamani, na hii imeifanya mechi ya leo kuwa kama “fainali” kwa Yanga. Kwa Nini Yanga Wanahitaji Ushindi? 1. Kujiweka kwenye nafasi ya juu ya kundi Mechi za makundi za CAF Champions League hazitoi nafasi nyingi za makosa. Ili Yanga waongeze…

Read More

Kikosi cha Yanga sc vs AS Far Rabat CAF Champions League leo Klabu Bingwa Afrika. Mechi kati ya Yanga SC na AS FAR Rabat inaonekana kuwa moja ya michezo itakayovuta hisia kubwa kwenye hatua za CAF Champions League. Kukutana kwa timu hizi mbili kunakuja wakati kila upande ukihitaji matokeo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele. Kikosi kinachoanza Yanga vs AS Far Rabat leo Kikosi cha Yanga kinachoanza Yanga SC vs AS FAR Rabat ni mchezo unaotarajiwa kuwa na mvutano mkubwa, mbinu nyingi na ushabiki mzito. Ni aina ya mechi inayoweza kuamua mwelekeo wa safari ya timu kwenye CAF…

Read More

Tuzo za NBC ni sehemu muhimu ya mfumo wa Tuzo za TFF, zikiwa na dhamira ya kutambua juhudi, weledi na ubora wa wachezaji, makocha, waamuzi na wadau wengine wa mchezo wa mpira wa miguu nchini. Mwaka 2025 unakuja na ushindani mkubwa, huku makundi mbalimbali yakijazwa na majina yaliyoonyesha ubora ndani ya msimu uliopita. Orodha wanaoshindania na kuwania Tuzo za NBC – TFF Msimu 2025 Hapa chini ni muhtasari kamili wa wanaoshindania Tuzo za NBC 2025 katika kila kipengele. 1. Mchezaji Bora 2. Kipa Bora 3. Kiungo Bora 4. Beki Bora 5. Chipukizi Bora 6. Menea ya Uongozi na Usimamizi 7.…

Read More