TAMISEMI Imetoa orodha ya waliopangiwa kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2026, sambamba na hilo wametoa fomu za kujiunga (Joining Instructions) zenye vitu muhumi kwa wanafuni kuwa navyo wakati wanaenda shuleni kwa wale wa bweni na day.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Joining Instructions na Fomu za kujiunga na sekondari kidato cha kwanza 2025-2026
Maelekezo namna ya kupata fomu za kujiunga joining instructions za kidato cha kwanza, Tafadhari chagua mkoa husika ambao mwanafunzi amefanyia mtihani shule ya msingi, Kisha chagua shule aliyosoma, utamalizia kubonyeza jina la shule aliyopangiwa kwenda ili uweze kupakua fomu hiyo ya kujiunga.
| ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
| GEITA | IRINGA | KAGERA |
| KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
| LINDI | MANYARA | MARA |
| MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
| MWANZA | NJOMBE | PWANI |
| RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
| SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
| TABORA | TANGA |
Soma pia: