Kwa mwaka 2025, ngazi ya TGHS D inahusisha kada za wataalamu wa afya wenye kiwango cha juu cha elimu, uzoefu mkubwa, au majukumu ya usimamizi. Ngazi hii mara nyingi hutazamwa kama hatua ya kati inayotenganisha wataalamu wa kawaida na wale wanaoelekea katika nafasi za uongozi au utaalamu maalumu.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Viwango vy mishahara TGHS D
- TGHS D.1: Mshahara wa mwezi: Tshs. 1,215,000
- TGHS D.2: Mshahara wa mwezi: Tshs. 1,231,000 – 1,286,000
- TGHS D.3: Mshahara wa mwezi: Tshs. 1,247,000 – 1,302,000
Soma pia: