Coca-Cola ni miongoni mwa kampuni kubwa duniani katika uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa vinywaji. Kampuni hii hutoa nafasi mbalimbali za ajira kwa watu wenye viwango tofauti vya elimu, ujuzi na uzoefu wa kazi.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Kwa waombaji wanaotafuta Nafasi za Kazi Coca-Cola, nafasi zinazotangazwa zinaweza kujumuisha kada mbalimbali kama vile uzalishaji, mauzo, masoko, usafirishaji na ugavi, fedha, rasilimali watu, TEHAMA, uhandisi na kazi za kiutawala.
Tuma Maombi Hapa