Walimu wa masomo mbalimbali walioitwa kwenye usaili MDAs na LGAs, Pia sekretariat ya ajira imetoa maelekezo kwa wasailiwa wote kama ifuatavyo:
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/12/2025 hadi 22/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo
BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA
Soma pia: