Viwango vya Mshahara Watumishi wa Mahakama TJS Salary Scale 2025. Mahakama ni taasisi muhimu sana katika utawala wa sheria, na ili kuhakikisha huduma bora, ni muhimu watumishi wa mahakama – wa kiwango cha chini hadi juu – wapate mshahara wa haki. Katika muktadha wa Tanzania, watumishi wa Mahakama (Judiciary Service) wanapewa ndani ya “Tanzania Judicial Service (TJS)” ngazi za mshahara zilizopangwa rasmi.
Mfumo huu umewekwa ili kuhimiza utendaji na uwajibikaji, pamoja na kutoa motisha kwa maendeleo ya taaluma.
Viwango vya Mshahara Watumishi wa Mahakama – TJS Salary Scale 2025
TJS 1
TJS 1.1. (Sh 510,000), TJS 1.2. (Sh 535,000), TJS 1.3. (Sh 560,000), TJS 1.4. (Sh 585,000), TJS 1.5. (Sh 610,000), na TJS 1.6. (Sh 635,000) na TJS 1.7. (Sh 660,000).
TJS 2
TJS 2.1. (Sh 770,000), TJS 2.3. (Sh 805,000), TJS 2.3. (Sh 840,000), TJS 2.4. (Sh 875,000), TJS 2.5. (Sh 910,000), TJS 2.6. (Sh 945,000), na TJS 2.7. (Sh 980,000).
TJS 3
TJS 3.1. (Sh 1,075,000), TJS 3.2. (Sh 1,115,000), TJS 3.3. (Sh 1,155,000), TJS 3.4. (Sh 1,195,000), TJS 3.5. (Sh 1,235,000), TJS 3.6. (Sh 1,275,000), na TJS 3.7. (Sh 1,315,000).
TJS 4
TJS 4.1. (Sh1,420,000), TJS 4.2. (Sh 1,470,000), TJS 4.3. (Sh 1,520,000), TJS 4.4. (Sh 1,570,000), TJS 4.5. (Sh 1,620,000), TJS 4.6. (Sh 1,670,000), na TJS 4.7. (Sh 1,720,000).
TJS 5
TJS 5.1. (Sh 1,805,000), TJS 5.2. (Sh1,875,000), TJS 5.3. (Sh 1,945,000), TJS 5.4. (Sh 2,015,000), TJS 5.5. (Sh 2,085,000), na TJS 5.6. (Sh 2,155,000).
TJS 6
TJS 6.1. (Sh 2,250,000), TJS 6.2. (Sh 2,350,000), TJS 6.3. (Sh 2,450,000), TJS 6.4. (Sh 2,550,000), na TJS 6.5. (Sh 2,650,000).
TJS 7
TJS 7 (Sh 3,560,000)
TJS 8
TJS 8. (Sh 4,050,000)
TJS 9
TJS 9. (Sh 4,480,000)
TJS 10
TJS 10 (Sh 4,600,000)
Soma pia: