Jubilee Insurance Tanzania ni moja ya kampuni kongwe na zinazoaminika katika huduma za bima ya afya Afrika Mashariki. Inatoa vifurushi vya bima kwa watu binafsi, familia na makampuni, huku ikijivunia mtandao mpana wa hospitali na huduma za afya nchini.
Kwa mwaka 2025, Jubilee imeboresha vifurushi vyake ili kuendana na mahitaji ya watanzania wa kada tofauti, ikiwa ni pamoja na bima za mtu binafsi, familia, wafanyakazi na watoto wa shule.
Orodha ya Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee na Bei Zake (2025)
1. Jubilee Afya Individual Cover (Kwa Mtu Mmoja)
- Bronze Plan – Kuanzia TSh 650,000 kwa mwaka
- Silver Plan – Kuanzia TSh 1,200,000 kwa mwaka
- Gold Plan – Kuanzia TSh 2,000,000+ kwa mwaka
Inafaa kwa watu binafsi, wajasiriamali au waliopo sekta isiyo rasmi
2. Jubilee Afya Family Cover (Kwa Familia)
- Family Standard (Watu 2–6) – Kuanzia TSh 1,500,000 kwa mwaka
- Family Premium (Watu 6–10) – Kuanzia TSh 2,800,000+ kwa mwaka
Inashughulikia wanandoa na watoto
Kila mwanachama hupokea huduma ya kujitegemea kwa kadi yake ya matibabu
3. Jubilee Afya Corporate Cover (Kwa Makampuni)
- Bei hutegemea idadi ya wafanyakazi na aina ya kifurushi
- Inaanza kutoka TSh 600,000 kwa mfanyakazi kwa mwaka
- Inajumuisha huduma ya afya kazini, rufaa, na huduma za kimataifa (optional)
Hospitali Zinazotambuliwa na Jubilee Tanzania
- Aga Khan Hospital
- TMJ Hospital
- Regency Medical Centre
- Hindu Mandal
- Sanitas
- Na hospitali nyingine zaidi ya 300 zilizoko Tanzania bara na Zanzibar
Nani Anaweza Kujiunga?
- Mtu binafsi (18–60 yrs)
- Familia (wanandoa na watoto)
- Makampuni (kwa ajili ya wafanyakazi)
- Mashule na taasisi
Insurance Tanzania ni chaguo bora. Kwa bei nafuu kuanzia TSh 650,000 kwa mwaka, unaweza kupata huduma bora za afya kwa wewe binafsi au familia yako. Hakikisha unalinda afya yako na ya wapendwa wako mwaka huu wa 2025 kwa kujiunga na Jubilee.
Soma pia: