Mashabiki wa soka Afrika Mashariki wanatarajia kwa hamu kubwa mchezo wa kusisimua kati ya Uganda na Tanzania (Taifa Stars) utakaochezwa leo kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Huu ni mchezo muhimu sana kwa pande zote mbili katika hatua ya makundi.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Taarifa Muhimu za Mchezo Uganda vs Tanzania leo AFCON
- Mchezo: Uganda vs Tanzania (Taifa Stars)
- Tarehe: Jumamosi, 27 Desemba 2025
- Saa ya Kuanza: Saa 2:30 usiku (19:30 EAT – Muda wa Afrika Mashariki)
- Mashindano: AFCON 2025 – Hatua ya Makundi (Kundi C)
- Uwanja: Al-Barid Stadium, Rabat – Morocco
Umuhimu wa Mchezo kwa Taifa Stars
Mchezo huu ni wa maamuzi makubwa kwa Taifa Stars, kwani pointi zitakazopatikana zinaweza kuamua hatma ya Tanzania kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali. Ushindi dhidi ya Uganda utaongeza nafasi ya Taifa Stars kuendelea na ndoto ya kufanya vizuri AFCON 2025.
Soma Pia: