Tangazo la Ajira Uhamiaji 2025 limetolewa rasmi likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kuomba nafasi mbalimbali za kazi ndani ya Idara ya Uhamiaji. Tangazo hili linaeleza kada zinazohitajika, vigezo vya elimu, umri, afya na nidhamu, pamoja na maelekezo ya namna ya kutuma maombi kwa kufuata taratibu za Serikali. Waombaji wanashauriwa kusoma tangazo kwa makini, kuandaa nyaraka zote muhimu na kuwasilisha maombi yao ndani ya muda uliopangwa ili kuepuka kukosa fursa hii muhimu ya ajira serikalini.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
BONYEZA HAPA KUPAKUAPDF TANGAZO LA AJIRA ZA UHAMIAJI
Soma pia: Nafasi mpya za Kazi Uhamiaji 2025 – Ajira Immigration