Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Jana baada ya TRA kutoa matokeo ya usaili wa kuandika leo wametoa ratiba ya usaili wa mahojiano ambapo utafanyika kuanzia tarehe 02 Mei 2025 hadi tarehe 14 Mei 2025.