By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Nauli ya Treni SGR Dar to Dodoma
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Makala mbalimbali

Nauli ya Treni SGR Dar to Dodoma

admin
Last updated: May 4, 2025 1:12 pm
admin
Share
SHARE

Nauli ya Treni SGR Dar to Dodoma. Safari ya treni ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kupitia Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) ni mojawapo ya maendeleo makubwa katika sekta ya usafiri nchini Tanzania. Huduma hii inatoa njia salama, haraka, na ya kisasa kwa abiria wanaosafiri kati ya miji hii miwili mikubwa. Katika makala hii, tutajadili kwa undani kuhusu nauli ya treni SGR Dar to Dodoma, ratiba, na huduma zinazopatikana.

Contents
Nauli ya Treni SGR Dar to DodomaVituo vya Kusimama

Nauli ya Treni SGR Dar to Dodoma

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za treni ya kawaida kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma (kilomita 444) ni Tsh 31,000 kwa abiria mzima. Kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 12, nauli ni nusu ya bei ya mzima, yaani Tsh 15,500. Watoto chini ya miaka 4 hawatalipia nauli. Na Pia Nauli za Treni ya Haraka (Express) kwa daraja la Biashara (Business class) kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ni Tsh 70,000 na kwa daraja la Juu (Royal Class) Tsh 120,000.

Vituo vya Kusimama

Treni ya haraka inasimama katika vituo viwili pekee Dodoma Kituo cha mwisho cha safari na Morogoro Kituo cha kwanza cha kusimama, huku Treni ya kawaida inasimama katika vituo vingi, ikiwemo Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere, Morogoro, Mkata, Kilosa, Kidete, Gulwe, Igandu, na Bahi, kabla ya kufika Dodoma.

Mapendekezo ya Mhariri:

  • Ratiba ya Treni ya SGR Dar to Dodoma
  • Mabasi ya Dar kwenda Arusha
  • Mabasi ya Dar kwenda Dodoma
TAGGED:nauli za sgr dar to dodoma timetable

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article Ratiba ya Treni ya SGR Dar to Dodoma Ratiba ya Treni ya SGR Dar to Dodoma
Next Article Jinsi ya kukata Tiketi ya Treni SGR Mtandaoni (Online) Jinsi ya kukata Tiketi ya Treni SGR Mtandaoni (Online)
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania
Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania 2025 – Bei na Gharama
Makala mbalimbali
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 - Bei na Gharama zake
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 – Bei na Gharama zake
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Tanzania 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali

You Might also Like

Jinsi ya kukata Tiketi ya Treni SGR Mtandaoni (Online)
Makala mbalimbali

Jinsi ya kukata Tiketi ya Treni SGR Mtandaoni (Online)

3 Min Read
Idadi ya makombe ya simba ligi kuu 1936
Makala mbalimbali

Idadi ya makombe ya simba ligi kuu 1936

1 Min Read

Hukumu ya Kesi ya Kujeruhi

2 Min Read

Jinsi ya kupika mchuzi wa kuku wa nazi

3 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?