Nafasi za Kujiunga na Jeshi JWTZ. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo rasmi cha ulinzi wa nchi kilichoanzishwa tarehe 1 Septemba 1964 baada ya kuvunjwa kwa King’s African Rifles, lililorithiwa kutoka kwa wakoloni. JWTZ liliundwa kwa misingi ya utaifa, uzalendo na utii kwa mamlaka ya kiraia, tofauti na majeshi ya kibaguzi ya kikoloni. Jeshi hili lina jukumu la kulinda mipaka ya Tanzania, kuhakikisha usalama wa taifa, na kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii na maendeleo, kama vile ujenzi wa miundombinu na kusaidia wakati wa majanga ya kitaifa. Aidha, JWTZ hushiriki katika operesheni za amani za kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa, likiwa moja ya majeshi yanayoheshimika barani Afrika kwa nidhamu na weledi wake.
Vigezo vya Kujiunga na Jeshi la Wananchi (JWTZ)
According to the announcement, the following are the key requirements for applicants:
- Must be a Tanzanian citizen with a valid National ID.
- Must be in good physical and mental health.
- Must possess good moral character and discipline.
- Must not have a criminal record or have been convicted of any offense.
- Must have an original birth certificate along with academic and professional certificates.
- Should not have served in other security institutions such as the Police, Prisons, Training Institutes, or Anti-Smuggling Forces.
- Must have completed National Service (JKT) under either voluntary or statutory terms and hold a valid certificate.
Miaka Inayohitajika
Age RequirementsThe age limit varies depending on the level of education:
- O-Level and A-Level graduates: Must not exceed 24 years of age.
- Diploma holders: Must not exceed 26 years of age.
- Degree holders: Must not exceed 27 years of age.
- Specialist Medical Doctors: Must not exceed 35 years of age.
Fani zinazohitajika
Sekta ya Afya
- Medical and Health Professions:
- General Surgeon
- Orthopaedic Surgeon
- Urologist
- Radiologist
- ENT Specialist
- Anaesthesiologist
- Physician
- Ophthalmologist
- Paediatrician
- Obstetrician & Gynaecologist
- Oncologist
- Pathologist
- Psychiatrist
- Emergency Medicine Specialist
- Haematologist
- Medical Doctor
- Dental Doctor
- Veterinary Medicine
- Biomedical Engineer
- Dental Lab Technician
- Anaesthetic Technician
- Radiographer
- Optometrist
- Physiotherapist
- Aviation Doctor
Uhandisi:
- Bachelor of Electronic Engineering
- Mechanical Engineering
- Marine Engineering
- Marine Transportation & Nautical Science
- Marine Diesel Engine Mechanics
- Aviation Management
- Aircraft Accident & Incident Investigation
- Meteorology
- Air Traffic Management
- Aeronautic Engineering
- Aluminum Welding
- Welding & Metal Fabrication