Serikali kupitia mamlaka husika imetangaza nafasi mpya za Ajira katika halmashauri mbalimbali nchini kwa mwaka 2025, zikiwa na lengo la kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma za kijamii na kiutawala katika ngazi za serikali za mitaa. Tangazo hili linatoa fursa kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kujiunga na utumishi wa umma kupitia mfumo wa AJIRA PORTAL unaosimamiwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Serikali imeendelea kusisitiza uwazi, usawa, na ushindani wa haki katika mchakato wa uajiri, ili kuhakikisha watumishi wanaopatikana wanaendana na maadili na malengo ya utoaji huduma bora kwa wananchi katika maeneo yote ya nchi.
Tangazo la Nafasi mbalimbali za kazi kutoka Halmashauri 2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO 01-12-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA 01-12-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI 01-12-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 30-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA 29-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA 28-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE 28-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA 27-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI RUFIJI 25-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA KIBAHA 25-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 25-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA MTWARA 20-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU 20-11-2025
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI 20-11-2025