Leo Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa niaba ya MDAs & LGAs imeweka tangazo la nafasi mpya za ajira za walimu na nafasi za ualimu kupitia Ajira Portal ili kukamilisha upungufu wa walimu kwenye taasisi za elimu nchini. Tangazo hili linaorodhesha nafasi mbalimbali za ualimu katika ngazi tofauti na fani mbalimbali ambazo walimu wenye sifa wanakaribishwa kuomba, na ni sehemu ya jitihada za serikali kuboresha utoaji wa elimu kwa kuajiri walimu zaidi ili kutosheleza mahitaji ya shule na jamii.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Soma pia: