Tazama hapa Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2025 2026 Tanzania bara premier, timu zote simba, Yanga na Azam
Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa 2025–26 utaanza rasmi tarehe 16 Septemba 202. Kabla ya kuanza, Bodi husika ilisisitiza umuhimu wa timu kufanya maandalizi ya kina—sio tu kuboresha safu za wachezaji, bali pia kuhakikisha miundombinu kama viwanja na ofisi za vifaa iko katika hali bora.
Standings provided by Sofascore
Soma pia: