Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, vijana hao waliofanikiwa kufaulu usaili wanatakiwa kufanya mafunzo namna sahihi ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu mwaka huu
Zoezi hili la kusimamia uchaguzi litasimamiwa na tume ya uchaguzi NEC, Orodha ya majina ipo hapa chini
PDF MAJINA YA WALIOITWAA MAFUNZO MOROGORO UCHAGUZI
Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 Kigamboni