Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imetoa Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi na kuitwa kuanza Semina.
Link hapo chini inakuletea Orodha ya Majina waliofaulu usaili:
PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI WASIMAMIZI WA VITUO
PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI MAKARANI WAONGOZAJI
KUPATA MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI WILAYA NYINGINE BOFYA HAPA