HESLB – High Education Student Loan board, Bodi ya Mikopo Tanzania imetangaza majina ya wanafunzi wa kidato cha Sita (Form six) waliokosea kujaza form ya maombi ya mkopo.
Wanafunzi wote walioomba mkopo wanatakiwa kuangalia taarifa zao kwenye akaunti zao za SIPA.
