Orodha ya Majina walioitwa kwenye usaili ATCL. Air Tanzania Company Limited (ATCL) imeendelea kuwajulisha waombaji kazi mbalimbali kuwa majina ya waliochaguliwa kuitwa kwenye usaili yametangazwa rasmi, ambapo waombaji hao wanatakiwa kujiandaa kikamilifu kwa kufuata maelekezo yote yaliyotolewa katika tangazo husika. Usaili huo unalenga kupata wataalamu wenye sifa, ujuzi na nidhamu ya hali ya juu ili kujiunga na shirika hilo la ndege la taifa, hivyo waombaji wanashauriwa kufuatilia kwa makini tarehe, muda na mahali pa usaili pamoja na nyaraka muhimu zinazohitajika ili kuhakikisha wanashiriki bila changamoto.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
KILA ALIYECHAGULIWA AMETUMIWA MAJIBU YA USAILI KWENYE EMAIL YAKE