By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Majina ya walioitwa Usaili Air Tanzania 2025
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Majina ya kuitwa kazini

Majina ya walioitwa Usaili Air Tanzania 2025

admin
Last updated: May 2, 2025 5:02 pm
admin
Share
SHARE

Orodha ya Majina ya walioitwa usaili air Tanzania. Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia jumamosi, tarehe 3 Mei, 2025.
Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika Jumamosi, tarehe 3 Mei, 2025 saa moja na nusu asubuhi kama
    ilivyooneshwa kwenye tangazo hili;
  • Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Taifa, Hati ya Kusafiria au Leseni ya udereva;
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha Kuzaliwa, Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
  • Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za Kidato cha IV na VI (Form IV and Form VI result slips) HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo
  • Wasailiwa wenye tofauti ya majina katika vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa wahakikishe wanakuwa na kiapo cha kubadilisha majina kilichosajiliwa (DEED POLL);
  • Wasailiwa waliozaliwa nje ya Tanzania wahakikishe wanawasilisha uthibitisho wa uraia kutoka Ofisi uhamiaji

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI AIR TANZANIA

Mapendekezo ya Mhariri:

  • Nafasi za kazi DTB Bank
  • Tangazo la Kujiunga na Jeshi JWTZ

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article 20250502 133611 Nafasi za kazi DTB Bank, 2025
Next Article Jinsi ya Kujitetea Mahakamani
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kilichopotea Tanzania
Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kilichopotea Tanzania
Makala mbalimbali
Kocha anayelipwa mshahara Mkubwa Tanzania NBC Premier League
Kocha anayelipwa mshahara Mkubwa Tanzania NBC Premier League
Makala mbalimbali
Mishahara ya Wachezaji wa Simba SC 2025/2026
Mishahara ya Wachezaji wa Simba SC 2025/2026
Makala mbalimbali
Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2025/2026
Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2025/2026
Makala mbalimbali

You Might also Like

20250418 201109
Majina ya kuitwa kazini

Majina ya walioitwa kazini NECTA 2025

1 Min Read
20250430 231632
Majina ya kuitwa kazini

Majina ya walioitwa kazini TFS na TAWA, 2025

0 Min Read
20250417 203537
Majina ya kuitwa kazini

Majina ya walioitwa Kazini BOT 2025

1 Min Read
Majina ya waliotwa Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Majina ya kuitwa kazini

Majina ya waliotwa Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, 2025

1 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?