Tume ya Uchaguzi mkuu Tanzania INEC kupitia Halmshauri mbalimbali imetoa Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili kusimamia wapiga kura na kuongoza zoezi la kupiga kura wilaya mbalimbali nchini Tanzania
Hapo chini kuna PDF ya majina walioitw kwenye usaili halmashauri mbalimbali:
- Halmshauri ya Rombo
- Manispaa ya Bukoba Mjini
- Manispaa ya Newala Mjini
- Halmashauri ya Lindi Mjini
- Jimboa la Dodoma mjini
- Wilaya ya Kisarawe
- Halmshauri ya wilaya ya Bagamoyo
- Jimbo la Lulindi na Ndanda
- Jimbo la Mbeya Vijijini
- Jimbo la Mtumba
- Halmashauri ya Mbulu
- Musoma Vijijini
- Wilaya ya Nkasi
- Wilaya ya Korogwe
- Pangani
- Kilosa
- Jimbo la Hai
- Jimbo la Kasulu vijijini
- Mtwara Mjini
- Tabora Mjini
- Mkuranga
- Buhigwe
- Kibaha Vijijini
- Kibiti
- Nanyamba
- Same Magharibi
- Lushoto
- Gairo
- Babati
- Mafia
- Moshi DC
- Nyamagana
- Chato Kaskazini
- Arusha Mjini
- Kigamboni municipal
- Iringa Mjini manispaa
- Ubungo na Kibamba
- Kinondoni na Kawe
- Temeke na Mbagala Manispaa
- Mvomero Dc
KUPATA MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI BOFYA HAPA
14 Comments
Mbona kuna majina ya halmashauri mbili tu?
Uchaguzi mkuu 2025
Naulizia tabora igunga majina ya usahili yametoka ama
Mbona wilaya ya kibaha haipo
Tunaomba na SINGIDA mjini
mbona wilaya zingine hakuna?
Mbona Wilaya ya kiteto Mkoa wa Manyara haionekani hapa
Mbona Wilaya ya kiteto Mkoa wa Manyara haionekani hapa
Naombaa mkoa wa Manyara Wilaya ya kiteto
Majina ya kahama hayaonekani
Mbona majina ya mkoa wa Dar es salaam hayapo kaka
Majina ya usaili kusimamia uchaguzi 2025 wilaya ya Ilemela mwanza
Dar es salaam vp maan majina yametoka au Bado dar majina hayaja toka
Temeke mbona hamna