Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Bunge la Jamhuri ya Muungano wa tanzania, Spika wa Bunge ametangaza orodha ya vijana walioitwa kwenye usaili wa nafasi walizoomba za kazi kutoka Bunge la Tanzania.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Wasailiwa wote wanaombwa kupitia tangazo hilo na kusoma maelekezo muhimu ili kuepuka usumbufu wowote utakao jitokeza.
BONYEZA HAPA KUPATA PDF YA MAJINA YA USAILI BUNGE LA TANZANIA