Majina ya waliochaguliwa kujiungana na vyuo vya VETA kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yametangazwa rasmi, yakihusisha waombaji waliofanikiwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Orodha hiyo inaonesha waombaji waliopata nafasi katika fani mbalimbali za ufundi stadi kulingana na uchaguzi wao, ufaulu wa masomo, pamoja na nafasi zilizopo katika vyuo husika. Waombaji waliochaguliwa wanapaswa kufuatilia maelekezo yaliyotolewa kuhusu taratibu za kujiandikisha, tarehe za kuripoti vyuoni, pamoja na nyaraka muhimu zinazotakiwa ili kukamilisha mchakato wa udahili.
BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF YA MAJINA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA VETA
Soma pia: Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 (NECTA CSEE Results)