By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
vacancy Forumvacancy Forumvacancy Forum
Search
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Reading: Mabasi ya Dar kwenda Mwanza
Share
Sign In
Notification Show More
Font ResizerAa
vacancy Forumvacancy Forum
Font ResizerAa
Search
Have an existing account? Sign In
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Makala mbalimbali

Mabasi ya Dar kwenda Mwanza

admin
Last updated: May 2, 2025 9:40 pm
admin
Share
SHARE

Kusafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa basi ni mojawapo ya safari ndefu zaidi lakini pia ya kuvutia nchini Tanzania. Ikiwa unatafuta usafiri wa uhakika, nafuu na wenye huduma bora, mabasi ya Dar kwenda Mwanza yanakupa fursa ya kusafiri salama huku ukifurahia mandhari ya Tanzania.

Contents
Aina ya Mabasi Yanayotoa Huduma Dar – MwanzaRatiba ya Mabasi Dar kwenda MwanzaNauli za Mabasi Dar to MwanzaVituo Vikuu vya Kuanzia na KufikiaKwa Nini Usafiri kwa Basi?

Aina ya Mabasi Yanayotoa Huduma Dar – Mwanza

Kwa sababu ya umbali (takribani kilomita 1,200), kampuni nyingi hutoa mabasi ya luxury na semi-luxury kwa ajili ya safari hii ndefu. Baadhi ya kampuni zinazojulikana ni:

  • Katarama Luxury
  • Ally’s Star bus
  • Happy Nation
  • Isamilo
  • ABC Upper Class
  • Lucky Star
  • Princes Shabaha
  • Green Star Express
  • Kambas
  • Princes Munaa
  • Najmunisa
  • Simiyu Express
  • Igembensabo
  • Master City Limited
  • Best line

Ratiba ya Mabasi Dar kwenda Mwanza

Safari nyingi huanza kati ya saa 11 alfajiri hadi saa 2 asubuhi, kwa sababu ni safari ya saa 18–20 kutegemea na hali ya barabara na kituo cha mwisho.

Vidokezo Muhimu:

  • Weka tiketi mapema kwa sababu safari ni moja tu kwa siku kwa mabasi mengi
  • Fika kituoni mapema ili usikose basi
  • Beba chakula kidogo na maji kwa ajili ya safari ndefu

Nauli za Mabasi Dar to Mwanza

Bei ya tiketi inategemea aina ya huduma:

  • Semi-luxury: Tsh 70,000 – 90,000/=
  • Luxury/Executive Class: Tsh 110,000 – 180,000

Baadhi ya mabasi hutoa huduma za Wi-Fi, viti vya kulala (reclining seats), televisheni na hata milo midogo.

Vituo Vikuu vya Kuanzia na Kufikia

Dar es Salaam:

  • Ubungo Bus Terminal (UBT) – Kituo kikuu kwa mabasi yote ya mikoani

Mwanza:

  • Nyegezi Bus Terminal
  • Buzuruga (kwa baadhi ya kampuni)

Kwa Nini Usafiri kwa Basi?

  • Nafuu kuliko ndege
  • Unaweza kubeba mizigo zaidi bila gharama kubwa
  • Fursa ya kuona miji mbalimbali kama Dodoma, Singida, Shinyanga njiani.

Mapendekezo ya Mhariri:

  • Mabasi ya Dar to Morogoro
  • Jinsi ya Kujitetea Mahakamani

Sign Up For Daily Newsletter

Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.
Share This Article
Facebook Copy Link Print
Previous Article Mabasi ya Dar to Morogoro
Next Article Majina ya waliotwa Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Majina ya waliotwa Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, 2025
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania
Vifurushi vya Bima ya Afya Jubilee Tanzania 2025 – Bei na Gharama
Makala mbalimbali
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 - Bei na Gharama zake
Vifurushi vya Bima ya Afya NHIF 2025 – Bei na Gharama zake
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali
Bei ya Vifurushi vya DSTV 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Tanzania 2025 – Siku, Wiki & Mwezi
Makala mbalimbali

You Might also Like

Jinsi ya Kujitetea Mahakamani

2 Min Read
Madaraja ya leseni za udereva
Makala mbalimbali

Madaraja ya leseni za udereva

3 Min Read

Makosa ya Jinai na Vifungu vyake

3 Min Read
Kuangalia bima ya pikipiki kwa simu
Makala mbalimbali

Kuangalia bima ya pikipiki kwa simu

3 Min Read
vacancy Forumvacancy Forum
Follow US
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Username or Email Address
Password

Lost your password?