Tumeandaa Ma group ya whatsapp ya walimu wa madaraja mbalimbali Daraja III A, Daraja III B na Daraja III C za masomo mbalimbali kwa ajili ya kujiandaa na Usaili wa MDAs & LGAs wa ajira za Ualimu kwa mwaka huu 2025.
JIUNGE GROUP LA KUPATA AJIRA
BONYEZA HAPA
Orodha ya Magroup ya walimu usaili ajira za Ualimu 2025
Hizi hapa link za magroup, tafadhari jiunge na Group ambalo unaendana nalo ukishajiunga utakutana na wenzako kupeana maswali mbalimbali yaliyopita. Ukiingia kwenye group unapaswa kufuata sheria na kanuni kwani kuna watu wa rik tofauti tofauti, usipofata sheria utaondolewa haraka iwezekanavyo.
- LINK YA GROUP MWALIMU DARAJA III A
- LINK YA GROUP MWALIMU DARAJA III B
- LINK YA GROUP MWALIMU DARAJA III C
Soma pia: Viwango vya mishahara ya walimu 2025