Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linapenda kuwataarifu wazazi, walezi, walimu na umma kwa ujumla kuwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kutoka na kutangazwa rasmi mwishoni mwa mwezi Oktoba 2025.
Hatua Jinsi ya kuangali Matokeo ya Darasa la saba 2025 Online
Mara tu baada ya kutangazwa, matokeo yatapatikana kupitia:
- Tovuti rasmi ya NECTA: https://www.necta.go.tz
- Kupitia shule husika – Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Sekondari pia itabandikwa.
- Kwa kutumia simu ya mkononi – Kwa kutuma ujumbe mfupi (SMS), utaratibu kamili wa SMS utatolewa siku ya kutangazwa.
Tunawashauri wazazi na wanafunzi kuwa watulivu wakati huu wa kusubiri, na kuhakikisha wanapata taarifa sahihi kutoka vyanzo rasmi pekee.
Soma pia: Matokeo ya Darasa la Saba 2025