Kila mwaka, wahitimu wa elimu ya sekondari na stashahada hupata fursa ya kujiendeleza kitaaluma kupitia vyuo vya ualimu vilivyosajiliwa na serikali ya Tanzania. Baada ya mchakato wa udahili kukamilika kupitia NACTVET au TCU, wanafunzi waliokubaliwa hupewa fomu za kujiunga na vyuo vya ualimu – maarufu kama Joining Instructions.
Fomu hizi ni nyaraka rasmi kutoka chuo husika zinazoeleza taratibu za kujiunga, vitu muhimu vya kupeleka, tarehe ya kuripoti, maelezo ya ada, pamoja na masharti ya chuo. Kupitia joining instructions, mwanafunzi anapata mwongozo kamili wa maandalizi kabla ya kuanza masomo rasmi. Ni muhimu kusoma kwa makini fomu hizi na kuzifuata kikamilifu ili kuepuka changamoto za awali katika safari ya kuwa mwalimu mwenye taaluma.
List ya Fomu (Joining Instructions) za kujiunga na vyuo vya Ulimu 2025-2026
BUNDA JOINING 2025 – 26.pdf
BUSTANI JOINING INSTRUCTIONS 2025-2026.pdf
BUTIMBA JOINING 2025.pdf
DAKAWA TC JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
ILONGA TC JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
KABANGA TC Joining instruction 2025-2026.pdf
KASULU T.C. JOINING INSTRUCTIONS 2025 final.pdf
KATOKE JOINING 2025.pdf
KINAMPANDA JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
KITANGALI JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
KLERRUU TC JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
KOROGWE TC-JOINING INSTRUCTION 2025-2026.pdf
MAMIRE TC JOINING INSTRUCTION 2025-246doc.pdf
MANDAKA TC JOINING INSTRUCTION 2025 – 2026.pdf
MARANGU JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
MHONDA JOINING 2025-2026.pdf
JOINING INSTRUCTION 2025 MONDULI TC docx.pdf
MOROGORO TC JOINING INSTRUCTION 2025-2026.pdf
MPUGUSO JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
MPWAPWA JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
MURUTUNGURU JOINING INSTRUCTION 2025.pdf
NACHINGWEA Joining Instruction 2025.pdf
NDALA Joining instruction 2025.pdf
NGORONGORO JOINING INSTRUCTIONS 2025-26.pdf
PATANDI JOINING INSTRUCTIONS FROM 2025.pdf
SHINYANGA TCJOINING Instru 2025-2026.pdf
SINGACHINI JOINING_2025.pdf
SONGEA JOINING INSTRUCTIONS 2025-2026.pdf
SUMBAWANGA TC JOINING INSTRUCTION 2025-2026.pdf
TABORA JOINING INSTRUCTION 2025-2026.pdf
TANDALA (FOMU YA KUJINGA NA MAFUNZO 20252026).pdf
TARIME TC JOINING INSTRUCTION 2025,2026.pdf
TUKUYU JOINING INSTRUCTION 2025-2026.pdf
VIKINDU JOIN INSTRUCTION 2025.pdf
Vigezo vya Kujiunga
- Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE) au Kidato cha Sita (ACSEE)
- Ufaulu wa masomo ya msingi kama Kiswahili, Kiingereza, na Hisabati (kutegemea kozi)
- Kiwango cha ufaulu wa daraja la D au zaidi
Tarehe Muhimu
- Dirisha la Maombi: Mei hadi Agosti 2025
- Kuanza Masomo: Oktoba 2025
Jinsi ya Kupata Fomu
- Tembelea tovuti ya NACTVET
- Chagua kipengele cha “Admission”
- Tafuta chuo unachotaka kujiunga nacho
- Jaza fomu kwa usahihi na ambatanisha vyeti vya elimu
- Lipa ada ya maombi kama inavyotakiwa (kawaida ni TSh 10,000/=)
Kama unataka kuwa mwalimu mwenye taaluma, usikose nafasi hii ya kujiunga na vyuo vya ualimu Tanzania. Hakikisha unafuata muda wa maombi na vigezo vilivyowekwa. Fomu hupatikana mtandaoni na mchakato ni rahisi kabisa.