Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Orodha ya Majina walioitwa mafunzo na semina ya kusimamia uchaguzi mkuu kwa Wasimamizi wakuu, wasaidizi na makarani katika Halmshauri ya Wilaya ya Moshi vijijini Bonyeza hapa kupata PDF ya majina Waliofaulu usaili
Orodha ya Majina ya waliofaulu kusimamia uchaguzi kutoka halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo na kata zake mbalimbali. Waliofaulu usaili watatakiwa kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo kwa ajili kupata uzoefu wa kusimamia zoezi la uchaguzi. PDF MATOKEO YA USAILI KUSIMAMIA UCHAGUZI BAGAMOYO Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 – Morogoro
Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, vijana hao waliofanikiwa kufaulu usaili wanatakiwa kufanya mafunzo namna sahihi ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu mwaka huu Zoezi hili la kusimamia uchaguzi litasimamiwa na tume ya uchaguzi NEC, Orodha ya majina ipo hapa chini PDF MAJINA YA WALIOITWAA MAFUNZO MOROGORO UCHAGUZI Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 Kigamboni
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 3,945 za Ajira za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant nursing Officer) kupitia Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) kwa mwaka 2025. Tangazo hili ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha sekta ya afya na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati kote nchini. BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI Soma pia:
Serikali imetangaza nafasi 292 za ajira za Afisa Kilimo Msaidizi (Agricultural Field Officer) kupitia MDAs na LGAs kwa mwaka 2025, zikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Nafasi hizi zimeelekezwa kwa wataalamu watakaosaidia katika kutoa elimu kwa wakulima, kusimamia uzalishaji bora wa mazao, na kuhakikisha matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo. Kupitia ajira hizi, serikali inalenga kuongeza tija ya kilimo, kuboresha kipato cha wakulima, na kuchochea maendeleo ya uchumi wa vijijini. BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI Soma pia:
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 131 za ajia za Mhasibu Daraja la II (Accountant) kupitia Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) mwezi Oktoba 2025. Nafasi hizi zimekusudiwa kuimarisha usimamizi wa fedha za umma katika taasisi za serikali kwa kuhakikisha matumizi sahihi na uandaaji wa taarifa za kifedha kwa ufanisi. Wahasibu watakaopata nafasi hizi watasaidia kuboresha mifumo ya uhasibu, uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za serikali, huku wakitekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na kanuni za fedha za umma. Bonyeza hapa kutuma maombi Soma pia:
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza majina ya walimu 128 waliochaguliwa kwa nafasi za kujitolea mwaka 2025, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuongeza nguvu kazi kwenye shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao wamechaguliwa kusaidia kupunguza upungufu wa walimu uliopo katika baadhi ya maeneo hasa vijijini, huku wakipata fursa ya kupata uzoefu wa kazi na kujiandaa kwa ajira rasmi serikalini. Incase your browser not showing or failed to view attached PDF file above click here to view or download PDF file TAMISEMI imewataka walimu wote waliopata nafasi hizo kuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa wakati, kuzingatia maadili ya kazi,…
Serikali ya Tanzania imetoa ajira mpya za Tabibu Daraja la II (Clinical officer) kupitia MDAs na LGAs mwezi Oktoba 2025, kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini. Ajira hizi zimeelekezwa kwa wahitimu wenye sifa stahiki ili kujaza upungufu uliopo katika vituo vya afya, zahanati na hospitali za serikali. Hatua hii ni sehemu ya juhudi endelevu za serikali katika kuboresha mfumo wa afya, kuongeza upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi, na kupunguza mzigo wa kazi kwa watoa huduma waliopo. Maombi yote yanatumwa kupitia >>> https://portal.ajira.go.tz/
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatarajiwa kutangaza majina ya waombaji waliopata mikopo kwa mwaka wa masomo 2025-2026 Mwisho mwa mwezi huu wa tisa. Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na waliotuma maombi ya mkopo kupitia mfumo rasmi wa HESLB wanashauriwa kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwa bodi hiyo kupitia tovuti yao rasmi na mitandao ya kijamii. Majina hayo yatatolewa kwa awamu mbalimbali, kulingana na hatua ya uhakiki wa taarifa na tathmini ya vigezo vya waombaji. Kwa mujibu wa taarifa kutoka HESLB, bodi hiyo inatarajia kutoa majina ya awamu ya kwanza (Batch ya Kwanza) mwanzoni mwa mwezi wa…
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imetoa Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi na kuitwa kuanza Semina. Link hapo chini inakuletea Orodha ya Majina waliofaulu usaili: PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI WASIMAMIZI WA VITUO PDF MAJINA YA WALIOFAULU USAILI MAKARANI WAONGOZAJI KUPATA MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI WILAYA NYINGINE BOFYA HAPA