Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Secretariat ya Ajira kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza rasmi Nafasi mpya za kazi za ualimu kwa mwaka 2025. Ajira hizi zinahusisha walimu wa madaraja yote ikiwemo Daraja III A, Daraja III B, na Daraja III C, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha sekta ya elimu na kupunguza upungufu wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu wa Madaraja Yote Wamenufaika Katika tangazo hilo, serikali imesisitiza kuwa nafasi hizo ni kwa walimu wa ngazi tofauti, ikiwemo: Kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa, walimu wote waliomaliza mafunzo…
Orodha ya Majina walioitwa kuanza mafunzo na semina ya Kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu mwaka huu katika Wilaya ya Kinondoni na Jimbo la Kawe. Orodha hiyo inapatikana katika pdf hapo chini:
Leo Jumamosi Mechi za Marudiano za mkondo wa pili wa hatua ya awali Klabu Bingwa na Kombe la shirikisho CAF. Baada ya mechi za mkondo wa kwanza kukamilika leo hii Baadhi ya timu za Tanzania Bara zinashuka tena dimbani kumenyana awamu ya pili. Mechi kubwa inayosubiriwa kwa hamu katika mzunguko huu wa pili ni kati ya yanga sc na Silver Strikers, Ni baada ya mkondo wa kwanza timu ya wananchi yanga sc kuchezea kichapo cha bao moja kwa sufuri na kupelekea kufukuzwa kwa kocha wao mkuu Roma Folz, wanachama pamoja na mashabiki wa Yanga wanahamu kubwa ya kushuhudia mechi iyo wakiwa…
Wamiliki wa ardhi nchini Tanzania sasa wanaweza kuangalia deni la kodi ya ardhi (Land Rent) kwa urahisi kupitia huduma za mtandaoni zinazotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Mfumo huu umeundwa ili kurahisisha huduma na kuondoa usumbufu wa kwenda ofisini. Kwa Kutumia Huduma za Mtandaoni 1. Tembelea tovuti ya Wizara ya Ardhi 2. Ingiza Taarifa za Kiwanja Chako 3. Chagua Mkoa na Wilaya 4. Pokea Makadirio ya Deni Soma pia:
Ikiwa unataka kuanzisha au kusajili biashara yako rasmi hapa Tanzania, moja ya mambo muhimu ni kuwa na TIN number (Taxpayer Identification Number) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Sasa, unaweza kupata TIN number ya biashara yako mtandaoni bila ya kwenda ofisini — rahisi, haraka na salama. Jinsi ya kuomba TIN number ya biashara yako online, na mahitaji unayopaswa kuwa nayo kabla ya kuanza mchakato. TIN Number ni Nini? Na Kwa Nini Unaihitaji? TIN (Taxpayer Identification Number) ni namba ya kipekee inayotolewa na TRA kwa watu binafsi au biashara kwa ajili ya kulipa kodi.Unahitaji TIN kwa ajili ya: Mahitaji ya Kuomba…
Azam TV ni moja kati ya huduma bora za televisheni kwa njia ya king’amuzi nchini Tanzania, inayotoa chaneli mbalimbali za michezo, habari, burudani na tamthilia. Ili kuendelea kufurahia huduma hii bila kukatizwa, ni muhimu kuhakikisha unalipia kifurushi chako kwa wakati. Zifuatazo ni hatua rahisi za kulipia Azam TV kwa kutumia simu kupitia mitandao tofauti ya malipo. Jinsi ya Kulipia kwa Simu Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa YAS Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa M-Pesa Jinsi Ya Kulipia Azam TV kwa Airtel Money Soma pia:
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) mwaka 2025. Tangazo hilo limepokelewa kwa furaha na hamasa kubwa kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi kote nchini, huku likiwa ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya msingi kuelekea sekondari. Kwa mujibu wa NECTA, matokeo haya yanaonesha kiwango cha ufaulu kimeongezeka ikilinganishwa na mwaka uliopita, jambo linaloonesha jitihada kubwa zinazofanywa na serikali na wadau wa elimu katika kuinua ubora wa elimu nchini Tanzania. Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Wazazi, wanafunzi na walimu wanaweza kuangalia matokeo ya Darasa la Saba…
Orodha ya Majina walioitwa kufanya mafunzo ya Semina ya Kusimamia uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 katika mkoa wa Dodoma Pamoja na majimbo yake yote. Orodha hii imebeba majina ya makarani, wasimamizi na wasimamizi wasaidi. Bonyeza hapo chini kupata PDF 1. Makarani akiba2. Wasimamizi Akiba3. Wasimamizi wa wasaidizi dodoma4. Wasimamizi wasaidizi Dodoma mjini Kupata Orodha ya Mikoa Mingine Bonyeza hapa
Tume ya Uchaguzi mkuu Tanzania INEC kupitia Halmshauri mbalimbali imetoa Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili kusimamia wapiga kura na kuongoza zoezi la kupiga kura wilaya mbalimbali nchini Tanzania Hapo chini kuna PDF ya majina walioitw kwenye usaili halmashauri mbalimbali: KUPATA MATOKEO YA USAILI ULIOFANYIKA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI BOFYA HAPA
Msimu wa 2024/2025 umekuwa wa kuvutia sana katika soka la Afrika, hasa kwa wapenzi wa soka la Tanzania. Nyota wawili waliowahi kucheza ndani ya NBC Premier League huku Fiston Mayele alikuwa Yanga na Shomari Kapombe akiwa Simba, wamekutana tena – safari hii si kama wachezaji wa timu moja, bali kama wapinzani wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa CAF Interclub 2025. Baada ya kutamba akiwa na Yanga SC kwa misimu mitatu mfululizo, Fiston Mayele alijiunga na Pyramid FC ya Misri, ambako ameendelea kung’ara katika michuano ya CAF Champions League. Akiwa kinara wa magoli na msaada mkubwa kwa timu yake, Mayele amethibitisha…