Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Majina ya waliochaguliwa awamu ya Pili kujiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (Institute of Finance Management – IFM) kwa mwaka wa masomo 2025 yametangazwa rasmi. Orodha hiyo inajumuisha wanafunzi waliokidhi vigezo vya kujiunga na programu mbalimbali za shahada, stashahada, na cheti, kulingana na matokeo yao ya kitaaluma na ushindani wa nafasi. Waliochaguliwa wanatakiwa kuthibitisha udahili wao kupitia mfumo wa TCU (kwa ngazi ya shahada) au NACTVET (kwa stashahada na vyeti) ndani ya muda uliowekwa ili kuweza kuendelea na hatua nyingine za usajili chuoni. IFM inawakaribisha wanafunzi wote wapya kujiunga na jumuiya yake ya kitaaluma yenye historia ndefu ya kutoa…
Orodha ya Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili kujiunga na chuo cha Maji Water Institute, imetoa orodha ya waliochaguliwa chuo kimoja na chuo zaidi ya kimoja. PDF MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA WATER INSTITUTE SECOND SELECTION Soma pia:
NECTA Yatangaza matokeo ya Darasa la Saba mwaka huu 2025-2026 – PSLE Results. Wanafunzi, wazazi na walimu kote nchini wanatarajia kwa hamu kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka wa 2025 na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Matarajio ni kwamba matokeo hayo yatatolewa muda mfupi baada ya ukaguzi wa mwisho wa majibu, tathmini ya alama zote pamoja na uhakiki wa usahihi, ili kuhakikisha haki kwa watahiniwa wote. Kutangaza matokeo haya ni hatua muhimu sana katika mfumo wa elimu kwa sababu hutoa mwongozo kwa wanafunzi kuhusu shule za sekondari za kujiunga nazo, na…
Maswali mbalimbali ya usaili yanayoweza kuulizwa kwa waombaji wa nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu, Maswali haya ni kwa Makarani, wasimamizi wasaidizi na wasimamizi wakuu wa vituo. Maswali ya usaili kusimamia uchaguzi Soma pia: Posho na malipo ya kusimamia uchaguzi mkuu 2025
Majina ya walioitwa kufanya usaili jimbo la mtumba, Orodha hii imeambatana na vituo vya kufanyia usaili pamoja na tarehe husika. Bonyeza hapo chini kupata orodha kamili: PDF ya wasimamizi wa Vituo vya kupiga kura Makarani waongozaji wapiga kura
Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili Kusimami uchaguzi Halmshauri ya Manispaa ya Ilala na Kata zake zote Bonyeza hapa kupata Orodha ya Majina
Orodha ya Majina walioitwa Kusimamia uchaguzi mkuu Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kata zake zote. Bonyeza hapa kupata Orodha ya Majina walioitwa kusimamia
Umefanikiwa kupata nafasi ya Kusimamia zoezi la Uchaguzi mkuu 2025? Huu hapa mchanganua wa Malipo na Posho ya Nafasi za kazi na Ajira za Kusimamia Uchaguzi mkuu Malipo na Posho za Ajira Kusimamia Uchaguzi 2025 Siku ya Uchaguzi Msimamizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 70,00/- kwa siku kwa muda wa siku mbili posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/=. Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 65,00= kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/= Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya…
Orodha ya Majina walioitwa kusimamia uchaguzi wa wapiga kura jimbo la Dodoma lenye kata ya Chamwino, Chang’ombe, Chigongwe, Hazina, Kikuya Kaskazini, Kikuya kusini, Kilimani, Kizota, Madukani, Majengo, Matumbulu, Mbabala, Mbalawala, Mkonze, Mnadani, Mpunguzi, Nala, Nkuhungu, Ntyuka, Uhuru, Zuzu, Kupata orodha ya Majina tafadhari, Bonyeza link apo chini: PDF ya wasimamizi wa Vituo vya kupiga kura Makarani waongozaji wapiga kura Kupata Orodha ya Wilaya nyingine, Bonyeza hapa
Orodha ya majina ya Walioitwa kufanya usaili wa kusimamia Uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 Orodha hiyo inapatikana kwenye link hapo chini: PAKUA HAPA KUPATA PDF YA ORODHA YA MAJINA