Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: noteswpadmin
Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, hauhitaji televisheni tena kufurahia mechi za mpira wa miguu live. Sasa unaweza kutazama mechi zote kubwa za Premier League, UEFA Champions League, LaLiga, Serie A, Bundesliga na ligi nyingine nyingi moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi. Unachohitaji ni data ya intaneti na App inayoitwa Cricfy, ambayo inarahisisha kuangalia michezo bure au kwa gharama ndogo popote ulipo. Cricfy ni app ya michezo inayokuwezesha kutazama mechi za moja kwa moja, kufuatilia matokeo ya live, ratiba za michezo, habari za wachezaji, na takwimu mbalimbali za ligi kubwa duniani. App hii imekuwa maarufu kwa mashabiki wa…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linapenda kuwataarifu wazazi, walezi, walimu na umma kwa ujumla kuwa matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kutoka na kutangazwa rasmi mwishoni mwa mwezi Oktoba 2025. Hatua Jinsi ya kuangali Matokeo ya Darasa la saba 2025 Online Mara tu baada ya kutangazwa, matokeo yatapatikana kupitia: Tunawashauri wazazi na wanafunzi kuwa watulivu wakati huu wa kusubiri, na kuhakikisha wanapata taarifa sahihi kutoka vyanzo rasmi pekee. Soma pia: Matokeo ya Darasa la Saba 2025
Hatua kwa hatua Jinsi ya kuangalia Bima ya Gari kwa simu. Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma nyingi muhimu zimehamia kwenye simu ikiwa ni pamoja na ukaguzi wa bima ya gari. Ikiwa wewe ni dereva au mmiliki wa gari, ni lazima kuhakikisha kuwa bima ya gari lako ipo hai ili kuepuka usumbufu wa kisheria na kulinda usalama wako na wa wengine barabarani. Kwa bahati nzuri, kuangalia bima ya gari kwa simu ni jambo rahisi mno na linaweza kufanyika popote ulipo. Hapa chini tumeandaa mwongozo wa hatua kwa hatua utakaokusaidia kufanya hivyo kwa urahisi. Hatua za kufata Jinsi ya kuangalia…
Orodha ya Majina walioitwa kwenye Mafunzo – semina ya kusimamia uchaguzi mkuu katika jimbo la Moshi mjini kwa Makarani, wasimamizi wakuu na wasaidizi Bonyeza hapa kupata Orodha ya majina
Orodha ya Majina walioitwa Kufanya mafunzo (semina) ya kusimami zoezi la Uchaguzi mkuu jimbo la Siha kwa makarani na wasimamizi wa vituo Bonyeza hapa kupata Orodha ya Majina waliofaulu usaili
Orodha ya Majina walioitwa mafunzo na semina ya kusimamia uchaguzi mkuu kwa Wasimamizi wakuu, wasaidizi na makarani katika Halmshauri ya Wilaya ya Moshi vijijini Bonyeza hapa kupata PDF ya majina Waliofaulu usaili
Orodha ya Majina ya waliofaulu kusimamia uchaguzi kutoka halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo na kata zake mbalimbali. Waliofaulu usaili watatakiwa kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo kwa ajili kupata uzoefu wa kusimamia zoezi la uchaguzi. PDF MATOKEO YA USAILI KUSIMAMIA UCHAGUZI BAGAMOYO Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 – Morogoro
Orodha ya Majina waliofaulu usaili wa kusimamia uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, vijana hao waliofanikiwa kufaulu usaili wanatakiwa kufanya mafunzo namna sahihi ya kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu mwaka huu Zoezi hili la kusimamia uchaguzi litasimamiwa na tume ya uchaguzi NEC, Orodha ya majina ipo hapa chini PDF MAJINA YA WALIOITWAA MAFUNZO MOROGORO UCHAGUZI Soma pia: Matokeo ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 Kigamboni
Serikali imetangaza jumla ya nafasi 3,945 za Ajira za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant nursing Officer) kupitia Wizara, Idara Zinazojitegemea (MDAs) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) kwa mwaka 2025. Tangazo hili ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha sekta ya afya na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati kote nchini. BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI Soma pia:
Serikali imetangaza nafasi 292 za ajira za Afisa Kilimo Msaidizi (Agricultural Field Officer) kupitia MDAs na LGAs kwa mwaka 2025, zikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Nafasi hizi zimeelekezwa kwa wataalamu watakaosaidia katika kutoa elimu kwa wakulima, kusimamia uzalishaji bora wa mazao, na kuhakikisha matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo. Kupitia ajira hizi, serikali inalenga kuongeza tija ya kilimo, kuboresha kipato cha wakulima, na kuchochea maendeleo ya uchumi wa vijijini. BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI Soma pia: